sina uhakika sana mkuu ila zile issue kama ni maigizo ni kwa asilimia chache sana Randy Orton aliwahi vunjwa bega live akakaa nje kwa muda mrefu lakini pia kuna case nyingine ya jamaa mmoja alikuwa anamuomba msamaha mwenzake baada ya kumnyanyua kwa kumshika vibaya hali iliyopelekea kuanguka na kuumia vibaya sana uti wa mgongo na huo ndio ukawa mwisho wa career zao.