Ni kipindi huwa kinatokea kwenye mahusiano kikipita salama bila yeyote kati yenu kuharibu mtaingia hatua ya pili ya mahusiano yenye nguvu kupita mwanzo mtajikuta mnapendana upya upendo wa ajabu kabisa na baada ya hapo ni vigumu kuachana na mmoja akifa mwingine hawezi kuishi maisha marefu tena.
LAKINI hiki ndio kipindi kibaya na cha hatari kwakuwa ndoa nyingi huvunjikia hapa kutokana na kusalitiana[/
QUOTE
Nabii nani vile!
mi naona wasiisubiri iyo phrase kuisha ili wajione wako ktk hatua ya kupendana mpaka shetan ashangae! Mama aongeze silaha! mbele ya shoka hakuna mbuyu mkubwa! mbona kwenye msondo tulifundishwa au mwenzetu kabila la Magufuli? au kanda maalum? kunani paleeeee..
Kwakuwa wewe ni Mkebora na mcha Mungu basi omba Mungu hayo maruhuni yapishe mbali hadi mumeo arudi katika hali yake. Na pia kama huwa anapata ndoto nyevu nachelea kuanza kumuwazia vibaya kama ana mpango wa kando. Ila huenda stress au kazi au msongo fulani. Waweza chukua hata kama likizo ya week 2 hivi ukaenda sehemu peke yako ukatulia ukatafakari ukaomba na kufunga ili Mungu atende jambo fulani. Ubarikiwe
nashawishika kusema kwamba wewe Mkebora ndio tatizo. kwani ulishawi kumtaka/kumshawishi @kut!e akakataa? kwanini unategemea yeye ndiye akuanza na sio wewe uanze kumshawishi? unategemea yeye awe anakudandia tu kama kuku bila wewe kumtia/kumuonyesha hamasa yoyote? utakaa sana...wewe endelea kubania k yako wakati mwenzako anajigegedea michepuko kwa kwenda mbele.
Yote yanawezekana kwa Imani na uwapo na imani waweza kuhamisha hata milima. Kumbuka imeandikwa mtu hataishi kwa mkate tu kwa hiyo kujisaidia kwako ni yeye anakusaidia japo ni kwa neema tu waweza tambua hilo na si kwa akili.Kwani Baba Mungu aliposema jisaidie nami nitakusaidia mnadhani alimaanisha nini?
Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams, najiuliza maswali mengi juu ya hili majibu sipati, vipi amenichoka? hana hamu na mimi, hajisikii au ana nini?
Nataka kufahamu kutoka kwenu vipi hii ni kawaida au tatizo? kumbukeni hatujagombana kabisaaa na hii ilianza mara kwa mwezi mnakutana mara 2 ikaja ikawa mara 1 na sasahivi inapita ata miezi 2 hamjakutana, nilishaongeanae kuwa hii hali sio, baadae inaweza kutusababishia matatizo anasema nayeye anajiona tu hivo.
Lingine linalonikwaza majukumu ya ndani kila ukimuomba pesa anasema iko bank wakati anajua kama tunahitaji kufanya manunuzi basi ata ya chakula au chochote kitakachohitajika, sasa najiuliza hivi huduma za ndani ngumu unyumba nao tatizo sugu niendelee kuvumilia au nitafute mwafaka?
Jambo la msingi kwangu ni kuwa namshukuru mungu dini imeniingia sana na sipendi kabisa kuwa na mchepuko siku zote niliamini mume wangu ni bora kuliko kijana yeyote, miaka yetu ya kawaida sana ni 40 kwa 35 ambapo bado wala hatutakiwi kuchoka kiaisi hiki, naanza kuamini kuwa matatizo mengi ya ndoa mara nyingi yanachangiwa na wanandoa.
Maana hapa leo hii mimi nikipandwa na shetani la kuzini hili tatizo atakuwa amenisababishia nani kama sio yeye asiyekuwa na hamasa na mimi?
basi naomba kipite salama maana hapa naongelea hali ya muda mrefu mkuu imedumu kama 2 years sasahivi
washirikishe wazazi wa pande zote ufumbuzi wa matatizo yenu utapatikana