Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?

Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?

Ni kipindi huwa kinatokea kwenye mahusiano kikipita salama bila yeyote kati yenu kuharibu mtaingia hatua ya pili ya mahusiano yenye nguvu kupita mwanzo mtajikuta mnapendana upya upendo wa ajabu kabisa na baada ya hapo ni vigumu kuachana na mmoja akifa mwingine hawezi kuishi maisha marefu tena.

LAKINI hiki ndio kipindi kibaya na cha hatari kwakuwa ndoa nyingi huvunjikia hapa kutokana na kusalitiana[/
QUOTE

Nabii nani vile!
mi naona wasiisubiri iyo phrase kuisha ili wajione wako ktk hatua ya kupendana mpaka shetan ashangae! Mama aongeze silaha! mbele ya shoka hakuna mbuyu mkubwa! mbona kwenye msondo tulifundishwa au mwenzetu kabila la Magufuli? au kanda maalum? kunani paleeeee..
 
Dada we kabila gani? mi bado naamini kuwa MBELE YA SHOKA HAKUNA MBUYU MKUBWA! Mke mwema mbona unatuangusha? MAN MAY HAVE DISCOVERED FIRE BUT "WOMAN" DISCOVERED HOW TO PLAY WITH IT.
 
Kwakuwa wewe ni Mkebora na mcha Mungu basi omba Mungu hayo maruhuni yapishe mbali hadi mumeo arudi katika hali yake. Na pia kama huwa anapata ndoto nyevu nachelea kuanza kumuwazia vibaya kama ana mpango wa kando. Ila huenda stress au kazi au msongo fulani. Waweza chukua hata kama likizo ya week 2 hivi ukaenda sehemu peke yako ukatulia ukatafakari ukaomba na kufunga ili Mungu atende jambo fulani. Ubarikiwe

Kwani Baba Mungu aliposema jisaidie nami nitakusaidia mnadhani alimaanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
nashawishika kusema kwamba wewe Mkebora ndio tatizo. kwani ulishawi kumtaka/kumshawishi @kut!e akakataa? kwanini unategemea yeye ndiye akuanza na sio wewe uanze kumshawishi? unategemea yeye awe anakudandia tu kama kuku bila wewe kumtia/kumuonyesha hamasa yoyote? utakaa sana...wewe endelea kubania k yako wakati mwenzako anajigegedea michepuko kwa kwenda mbele.

haa kama mimi asingeweza kunifungia tinted hata siku tatu tuu!
akiwa hana feelings si naanza mwenyewe taratibu kuchezea paipu kwa ufundi wa high grade! kama ni bara bara za magufuli basi kiwango cha Lami! na maufundi yoote ya unyago nasondo! hathubutu kulala doro! sometimes chanzo ni sisi wenyewe tu!
 
Last edited by a moderator:
nao wakishaolewaga wanajisahau sana! soap soap hawajipigi tena! mwendo wa vitenge tu from am to pm. ukienda saloon unasuka milazo! bajet ya perfume sijui deodorant ilishakufa! unajiachia kama kijola cha elfu 6. . ana macho mumeo sio kipofu! Ongeza tu silaha be incharge things will come to its truck.
 
Kwani Baba Mungu aliposema jisaidie nami nitakusaidia mnadhani alimaanisha nini?
Yote yanawezekana kwa Imani na uwapo na imani waweza kuhamisha hata milima. Kumbuka imeandikwa mtu hataishi kwa mkate tu kwa hiyo kujisaidia kwako ni yeye anakusaidia japo ni kwa neema tu waweza tambua hilo na si kwa akili.
 
Hana nyumba ndogo kweli huyu? aneza akawa kawekeza huko
 
me naomba nikusaidie kuhusu suala la fedha na mpangilio bora wa matumizi. Kubaliana na mme wako muwe mnanunua vitu kwa jumla hasa chakula kwa mwezi mzima (kama ni w/kazi mnaopokea mshahara kila mwezi) vitu kama mchele, unga, ngano, nyama, samaki, mafuta, maziwa, cereals hata vinywaji nk na vingine kama sabuni dawa za meno, mafuta tissue papers nk.

Panga bajeti ya hivyo vitu kwa mwezi mzima na mwisho wa mwezi mnaweka pesa mezani ya vitu vyote na vinanunuliwa maisha yanaendelea bila kuulizana ulizana na uhakikishe vyote ulivyonunua vinafika mwisho wa mwezi unaofuata.

Mkiishi kwa kununua mchele, nyama, chumvi na mafuta pindi mnapotaka kupika itawagharimu sana kwa kuwa hamnunui vitu kwa jumla kwenye maduka ya jumla yenye punguzo la bei

Jaribu kufanya hivyo hilo litakwisha.

Kuhusu unyumba nakushauri wewe ndio uwe kinara kipindi hiki lianzishe bi dada. Hakuna m/ume anayependa kum-let down mkewe ukilianzisha atalimalizia tu ndio tulivyoumbwa w/ume
 
Mama Endelea Kuishika Imani Hivyo Hivyo, Umesema Ni Miezi 2 Sasa Kwani Kuna Kilichokupungukia? Si Chakula Wala Maji Useme Usipopata Mwili Uta Dhoofu. Mwili Si Kwaajili Ya Ngono Bali Roho Wa Mungu Anakaa Ndani Yake, Lakufanya Zidisha Mapenzi Kwa Mungu Achana Na Mapenzi Ya Kimwili Kwanza Hayana Shukrani, Umesema Upo 35 Years Tuseme Una Miaka Zaidi Ya 15 Unafanya Hivyo Bado Hamu Haijaisha. Sasa Kuna Haja Gani Ya Kudili Na Kuumiza Nafsi Na Kitu Kisicho Isha Hamu? We Mpende Mr Kwa Upendo Wa KiMungu Dili Sana Na Mungu Na Masuala Ya Kamii Nae Mungu Akupigania Kila La Heri
 
Chukua kioo angalia utakayemuona ndio adui wa ndoa yenu.....
 
Pole sana ,ila nafikiri tatizo lenu ni la psychological zaidi ndoa ya 5 years bado ni changa sana hamuwezi kuchokana kiasi hicho,nawashauri muende kanisani mkapate cancelling wote au mjaribu kutoka out for at least a week mkiwa pamoja sehemu na kupata mawazo tofauti inaweza kurudisha hamu ya kutamaniana tena.Kwa kawaida inatakiwa mkutane at least mara 2 kwa wiki ili kuongeza mshikamano na mawasiliano ya kawaida na kimapenzi lazima yawe kila wakati.

Mimi ndoa yangu ima miaka 8 ila bado tunapendana na mawasiliano yetu yapo very tight kama tulivyokuwa wachumba.
 
Kwa mfano Mimi na mamii wangu tukizinguana au mmoja alojifanya amechoka hana tyme na mwenzie muhitaj wa ile huduma ataamshika mwenzake na kumsumbua adi ata kua active japo hata toa ushirikano wakutosha lakini inasaidia kipunguza kiu. Nahisi na wewe dada unakatatizo walionao wanawake wangi wanataka wawe wanalala tu bila kufanya chochote. Unaweza kumbaka akiwa amelala usiku na wewe ukaridhika tu.
 
hebu jaribu wewe kulianzisha, sio ukae kimya make a move, mchombeze, atakupa tu ushirikiano
 
Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams, najiuliza maswali mengi juu ya hili majibu sipati, vipi amenichoka? hana hamu na mimi, hajisikii au ana nini?

Nataka kufahamu kutoka kwenu vipi hii ni kawaida au tatizo? kumbukeni hatujagombana kabisaaa na hii ilianza mara kwa mwezi mnakutana mara 2 ikaja ikawa mara 1 na sasahivi inapita ata miezi 2 hamjakutana, nilishaongeanae kuwa hii hali sio, baadae inaweza kutusababishia matatizo anasema nayeye anajiona tu hivo.

Lingine linalonikwaza majukumu ya ndani kila ukimuomba pesa anasema iko bank wakati anajua kama tunahitaji kufanya manunuzi basi ata ya chakula au chochote kitakachohitajika, sasa najiuliza hivi huduma za ndani ngumu unyumba nao tatizo sugu niendelee kuvumilia au nitafute mwafaka?

Jambo la msingi kwangu ni kuwa namshukuru mungu dini imeniingia sana na sipendi kabisa kuwa na mchepuko siku zote niliamini mume wangu ni bora kuliko kijana yeyote, miaka yetu ya kawaida sana ni 40 kwa 35 ambapo bado wala hatutakiwi kuchoka kiaisi hiki, naanza kuamini kuwa matatizo mengi ya ndoa mara nyingi yanachangiwa na wanandoa.

Maana hapa leo hii mimi nikipandwa na shetani la kuzini hili tatizo atakuwa amenisababishia nani kama sio yeye asiyekuwa na hamasa na mimi?

Kwanza pole ila pili hilo shetani lishindwe na tatu we ni dini gani?
 
Maybe the guy is going through midlife crisis...na inaweza ikawa imeanza mapema kutokana na msongo wa mawazo au kazi, unaccomplished dreams and so forth..jitahidi kumuelewa na kujua tatizo lake, ikiwemo kuwasiliana na wataalamu wa saikolojia.

All the best.
 
basi naomba kipite salama maana hapa naongelea hali ya muda mrefu mkuu imedumu kama 2 years sasahivi

Vipi na wewe huwa hujiskii kukutana nae?Kama ndio kwanini humuanzi ili uone respond yake?
Kingine swala matumizi ya hapo nyumbani hapo awali ni yapi yalikua makubaliano yenu?Jaribu kujiuliza hayo maswali kwanza.

Mi nnacho amini kwenye ndoa ni lazima mmoja akubali kujishusha ili kuleta muafaka.
 
Back
Top Bottom