TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
embu jaribu kuchunguza majukumu ya mumeo kama ni makubwa kwa sasa swala la ngono linaweza kuwa shida..
jitathimini wewe je unaweka mazingira gani ya kumshawishi mumeo mfanye tendo tamu... usijekuta we ni mwanamke mropokwaji unafoka foka ndani ya nyumba kiukweli hata mimi ningekuwa na dushe bora niote ndoto nyevu.....
wakati wa tendo unalipokea vipi? unashukuru kwa namna ipi? si akikojoa unamsukumia huko hata kumfuta humfuti mapaka anyanyuke mweneyew kwenda kuosha hili linaweza kumtia uvivu kuwa nikichojoa natakiwa kwenda kushika maji baridi... andaa kitaulo uwe unamfuta itakuwa inaongeza ashki majununi...
pia usisubiri wewe uanzwetu, kwani dushe la mumeo linabadili position useme anaweza kuwa kaliamisha.. hapana kila siku lipo pale pale... uwe unaanza na wewe loh...!!!!
halafu usikute ukiombwa unajifanya upo bussy mama wewe usiringe ringe,,.....
swala pesa za matumizi ya home jaribu kumfokonyoa ujue mipango yake ya maendeleo usikute wewe unamatumizi mabaya ya pesa...... kama mmemaliza mipango ya life basi ni mbahili...
embu jiweke smart mwanamke vaa upendeze si kila akija anakukuta na likitenge lango kifuani maziwa hata braa ujavaaa kila siku........au unalidera lako hilo hilo kila siku....

Hivi kumbe na nyie jinsia ya kike mnamiss mshidede eehhh..!?
Kama hakupi basi mbake tuu, kuwa mbunifu mama
Jamani dear Uko wapi wewe binti, nimekukumbuka kweli. ThanksDuuh Ee Mungu tusaidie na Hizi ndoa .. Pole sana Dada...Yaani hapa I'm trying to picture myself in your shoes .. Duuh.. honestly Binafsi ningejipendekeza mpaka nipate haki yangu , ni mume wangu ati why I have to wait on him to start me .. but tuko tofauti. My dear sister I thank God kwa kuwa ndani yako na wewe kuwa ndani yake. Hebu jaribu kujipendekeza kwake kwa kumuanza .. Ikishindikana usimuogope MPE black and white kwa upole tuu . Mueleze unavyoumia moyoni na wewe ni mkewe anategemea nani atakusaidia kwa mahitaji yako. Najua umezungumza nae but try again my dear usikate tamaa. Try pia kufunga na kuomba Mungu amshuhulikie , akupe wisdom ya kumu handle it na kujazwa nguvu za uvumilivu .. Thanks..
washirikishe wazazi wa pande zote ufumbuzi wa matatizo yenu utapatikana
Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams, najiuliza maswali mengi juu ya hili majibu sipati, vipi amenichoka? hana hamu na mimi, hajisikii au ana nini?
Nataka kufahamu kutoka kwenu vipi hii ni kawaida au tatizo? kumbukeni hatujagombana kabisaaa na hii ilianza mara kwa mwezi mnakutana mara 2 ikaja ikawa mara 1 na sasahivi inapita ata miezi 2 hamjakutana, nilishaongeanae kuwa hii hali sio, baadae inaweza kutusababishia matatizo anasema nayeye anajiona tu hivo.
Lingine linalonikwaza majukumu ya ndani kila ukimuomba pesa anasema iko bank wakati anajua kama tunahitaji kufanya manunuzi basi ata ya chakula au chochote kitakachohitajika, sasa najiuliza hivi huduma za ndani ngumu unyumba nao tatizo sugu niendelee kuvumilia au nitafute mwafaka?
Jambo la msingi kwangu ni kuwa namshukuru mungu dini imeniingia sana na sipendi kabisa kuwa na mchepuko siku zote niliamini mume wangu ni bora kuliko kijana yeyote, miaka yetu ya kawaida sana ni 40 kwa 35 ambapo bado wala hatutakiwi kuchoka kiaisi hiki, naanza kuamini kuwa matatizo mengi ya ndoa mara nyingi yanachangiwa na wanandoa.
Maana hapa leo hii mimi nikipandwa na shetani la kuzini hili tatizo atakuwa amenisababishia nani kama sio yeye asiyekuwa na hamasa na mimi?
amina.....Hhha asante kungwi barikiwa sanaaa
kama anamasikio na asikieMiss chagga kwa hakika umenena yaliyoyakweli.Kama mwanamke hatofuata ushauri wako ajue anakaribisha mume kuwa na nyumba ndogo na ndoa kuwa ktk Unajaribu makubwa.
Jamani dear Uko wapi wewe binti, nimekukumbuka kweli. Thanks
Ooooh... Thank you for missed me ... Nipo my Love ... I miss you too.. Other commitments take most of my time and I thank God for the everything.. Thanks again for remembered me it means a lot ...I love your love.. Be Blessed.. Thanks..
chukua kioo angalia utakayemuona ndio adui wa ndoa yenu.....