Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?

Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?

kuna wadau nimewaelewa pale waliposema, wewe bint anza kumshawish mumeo, hii mimi huwa inakuwaga sana kwa wifi yako, yaani hata kama sina hamu, lakini atanichezea wewe mpaka nakula mzigo, tena wala hasubiri nivue boxer, anavuaga mwenyewe, tena muda mwingine mtata kweli, nikivaa boxer wakati wa kulala, yeye wakat wa kulala, anavaa nigt dress fupi, na akiwa utupu, jambo lingine, hataki nilale pembeni, anataka nilale kwenye kifua chake,yaaani shida,full kila siku mgegedo tu, siku akiwa siku zake, mi kwangu ndio furaha
 
embu jaribu kuchunguza majukumu ya mumeo kama ni makubwa kwa sasa swala la ngono linaweza kuwa shida..

jitathimini wewe je unaweka mazingira gani ya kumshawishi mumeo mfanye tendo tamu... usijekuta we ni mwanamke mropokwaji unafoka foka ndani ya nyumba kiukweli hata mimi ningekuwa na dushe bora niote ndoto nyevu.....

wakati wa tendo unalipokea vipi? unashukuru kwa namna ipi? si akikojoa unamsukumia huko hata kumfuta humfuti mapaka anyanyuke mweneyew kwenda kuosha hili linaweza kumtia uvivu kuwa nikichojoa natakiwa kwenda kushika maji baridi... andaa kitaulo uwe unamfuta itakuwa inaongeza ashki majununi...

pia usisubiri wewe uanzwetu, kwani dushe la mumeo linabadili position useme anaweza kuwa kaliamisha.. hapana kila siku lipo pale pale... uwe unaanza na wewe loh...!!!!

halafu usikute ukiombwa unajifanya upo bussy mama wewe usiringe ringe,,.....

swala pesa za matumizi ya home jaribu kumfokonyoa ujue mipango yake ya maendeleo usikute wewe unamatumizi mabaya ya pesa...... kama mmemaliza mipango ya life basi ni mbahili...

embu jiweke smart mwanamke vaa upendeze si kila akija anakukuta na likitenge lango kifuani maziwa hata braa ujavaaa kila siku........au unalidera lako hilo hilo kila siku....

Miss chagga kwa hakika umenena yaliyoyakweli.Kama mwanamke hatofuata ushauri wako ajue anakaribisha mume kuwa na nyumba ndogo na ndoa kuwa ktk Unajaribu makubwa.
 
Possibly kuna mmoja wenu alipoteza ham ya mwenzake, akawa mvivu kushiriki tendo hata akiambiwa! So mwingine akawa anavumilia mpaka naaye kazoea (kama hana mchepuko)!
La muhim n kuambizana na kuelewa mnapoelekea sio, mtafute suluhu mapema na muanze kwa kuhakikisha mnashiriki tendo mara kwa mara, na kuwa pamoja muda mrefu zaidi! the best way ya kuanza hili ni kuongeza idadi za outing tena za kulala nje ya home ndo nzuri
 
embu jaribu kuchunguza majukumu ya mumeo kama ni makubwa kwa sasa swala la ngono linaweza kuwa shida..

jitathimini wewe je unaweka mazingira gani ya kumshawishi mumeo mfanye tendo tamu... usijekuta we ni mwanamke mropokwaji unafoka foka ndani ya nyumba kiukweli hata mimi ningekuwa na dushe bora niote ndoto nyevu.....

wakati wa tendo unalipokea vipi? unashukuru kwa namna ipi? si akikojoa unamsukumia huko hata kumfuta humfuti mapaka anyanyuke mweneyew kwenda kuosha hili linaweza kumtia uvivu kuwa nikichojoa natakiwa kwenda kushika maji baridi... andaa kitaulo uwe unamfuta itakuwa inaongeza ashki majununi...

pia usisubiri wewe uanzwetu, kwani dushe la mumeo linabadili position useme anaweza kuwa kaliamisha.. hapana kila siku lipo pale pale... uwe unaanza na wewe loh...!!!!

halafu usikute ukiombwa unajifanya upo bussy mama wewe usiringe ringe,,.....

swala pesa za matumizi ya home jaribu kumfokonyoa ujue mipango yake ya maendeleo usikute wewe unamatumizi mabaya ya pesa...... kama mmemaliza mipango ya life basi ni mbahili...

embu jiweke smart mwanamke vaa upendeze si kila akija anakukuta na likitenge lango kifuani maziwa hata braa ujavaaa kila siku........au unalidera lako hilo hilo kila siku....

Hhha asante kungwi barikiwa sanaaa
 
Duuh Ee Mungu tusaidie na Hizi ndoa .. Pole sana Dada...Yaani hapa I'm trying to picture myself in your shoes .. Duuh.. honestly Binafsi ningejipendekeza mpaka nipate haki yangu , ni mume wangu ati why I have to wait on him to start me .. but tuko tofauti. My dear sister I thank God kwa kuwa ndani yako na wewe kuwa ndani yake. Hebu jaribu kujipendekeza kwake kwa kumuanza .. Ikishindikana usimuogope MPE black and white kwa upole tuu . Mueleze unavyoumia moyoni na wewe ni mkewe anategemea nani atakusaidia kwa mahitaji yako. Najua umezungumza nae but try again my dear usikate tamaa. Try pia kufunga na kuomba Mungu amshuhulikie , akupe wisdom ya kumu handle it na kujazwa nguvu za uvumilivu .. Thanks..
Jamani dear Uko wapi wewe binti, nimekukumbuka kweli. Thanks
 
mara unasema dini imekukaa mara shetani mara mwafaka; basi tafuta mwafaka-plan b sio?!
 
Mkebora; Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja

Mkebora, JITATHMINI PENGINE KAPATA MAHALA ANATELEZA CKU HIZI CO BURE! JIONGEZE! SHAURI YAKO!
 
Last edited by a moderator:
Wee kwani hujui kuwa mwili wa mwanaume ni senstive sana... Akimchezea tuu na kupet pet organs lazma response ije.
By the way ww hill and portion ni jinsia gani hebu nPM nikujuze zaidi maana naona huja explore the heights of lust ktk mahaba.
 
Last edited by a moderator:
Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams, najiuliza maswali mengi juu ya hili majibu sipati, vipi amenichoka? hana hamu na mimi, hajisikii au ana nini?

Nataka kufahamu kutoka kwenu vipi hii ni kawaida au tatizo? kumbukeni hatujagombana kabisaaa na hii ilianza mara kwa mwezi mnakutana mara 2 ikaja ikawa mara 1 na sasahivi inapita ata miezi 2 hamjakutana, nilishaongeanae kuwa hii hali sio, baadae inaweza kutusababishia matatizo anasema nayeye anajiona tu hivo.

Lingine linalonikwaza majukumu ya ndani kila ukimuomba pesa anasema iko bank wakati anajua kama tunahitaji kufanya manunuzi basi ata ya chakula au chochote kitakachohitajika, sasa najiuliza hivi huduma za ndani ngumu unyumba nao tatizo sugu niendelee kuvumilia au nitafute mwafaka?

Jambo la msingi kwangu ni kuwa namshukuru mungu dini imeniingia sana na sipendi kabisa kuwa na mchepuko siku zote niliamini mume wangu ni bora kuliko kijana yeyote, miaka yetu ya kawaida sana ni 40 kwa 35 ambapo bado wala hatutakiwi kuchoka kiaisi hiki, naanza kuamini kuwa matatizo mengi ya ndoa mara nyingi yanachangiwa na wanandoa.

Maana hapa leo hii mimi nikipandwa na shetani la kuzini hili tatizo atakuwa amenisababishia nani kama sio yeye asiyekuwa na hamasa na mimi?

Kwenye bluu hapo mbona naona kama unatafuta tu uhalali wa kuchepuka kwa kisingizio cha mme wako ndio anasababisha?
 
inawezekana pia anadalili ya sukari maana ha watu wakiwa na kisukari hata kama haijathibitishwa hopsital wanakuwa hawana hamu ya tendo
Pia inawezekana vitu anavyovipenpenedelea wewe huvipi kipaumbele kwene mapenzi unamfanya awe down
Ulimi ni kiungo kidogo lakini kina madhara makubwa kumbuka kauli zako ambazo huwa unazitoa na ambazo umewahi zitoa kwake kuhusu mambo ya unyumba na nyumba yenu kwa ujumla Yesu Kristo awasaidie na awavushe kwenye huo mtuhani
Omba sana na pia ongea nae ujue shida ipo wapi.
KUWA MTULIVU WAKATI WA KUONGEA NAE USIANZE KWA KULALAMIKA AU Kuonesha wewe unaonewa
 
Jamani dear Uko wapi wewe binti, nimekukumbuka kweli. Thanks

Ooooh... Thank you for missed me ... Nipo my Love ... I miss you too.. Other commitments take most of my time and I thank God for the everything.. Thanks again for remembered me it means a lot ...I love your love.. Be Blessed.. Thanks..
 
Aww glad to hear from you dear. Stay blessed. Thanks
 
HAyo ndiyo yanayo nikabili Wa Kwangu ndy hana muda kabisa
 
sasa kama huogagi unadhan mume atakua na hamu na wewe.
 
Back
Top Bottom