Hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams, najiuliza maswali mengi juu ya hili majibu sipati, vipi amenichoka? hana hamu na mimi, hajisikii au ana nini?
Nataka kufahamu kutoka kwenu vipi hii ni kawaida au tatizo? kumbukeni hatujagombana kabisaaa na hii ilianza mara kwa mwezi mnakutana mara 2 ikaja ikawa mara 1 na sasahivi inapita ata miezi 2 hamjakutana, nilishaongeanae kuwa hii hali sio, baadae inaweza kutusababishia matatizo anasema nayeye anajiona tu hivo.
Lingine linalonikwaza majukumu ya ndani kila ukimuomba pesa anasema iko bank wakati anajua kama tunahitaji kufanya manunuzi basi ata ya chakula au chochote kitakachohitajika, sasa najiuliza hivi huduma za ndani ngumu unyumba nao tatizo sugu niendelee kuvumilia au nitafute mwafaka?
Jambo la msingi kwangu ni kuwa namshukuru mungu dini imeniingia sana na sipendi kabisa kuwa na mchepuko siku zote niliamini mume wangu ni bora kuliko kijana yeyote, miaka yetu ya kawaida sana ni 40 kwa 35 ambapo bado wala hatutakiwi kuchoka kiaisi hiki, naanza kuamini kuwa matatizo mengi ya ndoa mara nyingi yanachangiwa na wanandoa.
Maana hapa leo hii mimi nikipandwa na shetani la kuzini hili tatizo atakuwa amenisababishia nani kama sio yeye asiyekuwa na hamasa na mimi?