Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?

Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?

Kwakuwa wewe ni Mkebora na mcha Mungu basi omba Mungu hayo maruhuni yapishe mbali hadi mumeo arudi katika hali yake. Na pia kama huwa anapata ndoto nyevu nachelea kuanza kumuwazia vibaya kama ana mpango wa kando. Ila huenda stress au kazi au msongo fulani. Waweza chukua hata kama likizo ya week 2 hivi ukaenda sehemu peke yako ukatulia ukatafakari ukaomba na kufunga ili Mungu atende jambo fulani. Ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kinamvunja moyo mwanamke kama kutokuguswa na kutamaniwa na mpenzi wake. Bidada unajitengeneza unajiremba na kuvaa vihamasishi ambavyo ulikuwa ukivaa siku za nyuma kabla ya matatizo wallahi kuta ziliongea sasa hivi hakuangalii mara ya pili hata ufanye nini, uabaki ukijibebisha peke yako. Inauma asikuambie mtu.


Usiubiri akuanze.
Muanze yeye.
 
Pole, dawa unayo wewe mwanamke usisubiri akuanze anza wewee,huyo ni halali yako unahaki yakuitaka hata mara5 kwa siku,fatuta siku pika chakula chako kizuri anachokipenda jipambe vizuri mpoke kwa bashasha mfanye ajisikie mwanamme
hapa siwezi kusema sana lakini kwa ufupi Huyo kuku wako mwenyewe asikuvunje miguu kumkimbiza,unajua nini anapenda na zaidi kaanae chini pia manake duu age yako ndio ile ya kuisikilizia khasaaaaaaaaa...lol

Unamshauri mwenzako afanye " Domestic Crime"
 
Hii yaweza kuwa kuna shida mahali chukueni likizo mbadili mazingira mwende mbali mkakae wenyewe japo kwa siku mbili tatu muongee vitu vya kawaida kabisa kama mnatumia kilevi kidogo itakuwa bora zaidi

Mkuu mshana jr kama ingekuwa ni suala ni hilo tu la kutotoa chakula cha ndoa nadhani ushauri wako ungekuwa bora sana.. Maana tunaamini emotions za mwanaume zinaweza kuwa na athari kubwa kwa hamu ya tendo la ndoa.. Maana inamfanya mwanaume auweke umbali na mwanamke na haswa anapohisi kushindwa majukumu ya nyumbani ambayo yanahusisha uanaume (it's male ego).. Hii as u suggested mnapobadilisha mazingira na kuongea inaweza kuwasaidia na kurudisha mahaba..

Lakini kuna cha ziada hapa mtoa uzi amekitaja.. Kwamba jamaa amekuwa mgumu kwenye kutoa hela za matumizi ya nyumbani.. Hii sasa inaleta shaka kama ni kweli jamaa anasumbuliwa na hilo.. Anapoanza kuwa mgumu wa kutoa hela ni dalili mbaya kwa mahusiano kwa maana sasa its not about male ego anymore.. Its about jamaa seeing another woman.. Na sasa anapokuwa na mkewe anakuwa na hasira.. Inawezekana hata kuongea nae anaongea kwa hasira au mkato.. Mahaba yameondoka hapo..

Ushauri wangu mie nadhani tatizo halikimbiwi.. Akae chini ajumuishe watu wa karibu kulizungumzia tatizo na kuangalia kama ataweza ku-salvage ndoa yake..

Hayo ndio mawazo yangu..
 
Last edited by a moderator:
Wengine stage uliyopo tu ,sisi ime2kumba kwenye uchumba yaan hukumbukwi, hujaliwi, huthaminiwi n.k ila unawekwa utulie kwa ajil ya ndoa yaan full mauzi cjui ndo itafuata stage ipi apo.
 
embu jaribu kuchunguza majukumu ya mumeo kama ni makubwa kwa sasa swala la ngono linaweza kuwa shida..

jitathimini wewe je unaweka mazingira gani ya kumshawishi mumeo mfanye tendo tamu... usijekuta we ni mwanamke mropokwaji unafoka foka ndani ya nyumba kiukweli hata mimi ningekuwa na dushe bora niote ndoto nyevu.....

wakati wa tendo unalipokea vipi? unashukuru kwa namna ipi? si akikojoa unamsukumia huko hata kumfuta humfuti mapaka anyanyuke mweneyew kwenda kuosha hili linaweza kumtia uvivu kuwa nikichojoa natakiwa kwenda kushika maji baridi... andaa kitaulo uwe unamfuta itakuwa inaongeza ashki majununi...

pia usisubiri wewe uanzwetu, kwani dushe la mumeo linabadili position useme anaweza kuwa kaliamisha.. hapana kila siku lipo pale pale... uwe unaanza na wewe loh...!!!!

halafu usikute ukiombwa unajifanya upo bussy mama wewe usiringe ringe,,.....

swala pesa za matumizi ya home jaribu kumfokonyoa ujue mipango yake ya maendeleo usikute wewe unamatumizi mabaya ya pesa...... kama mmemaliza mipango ya life basi ni mbahili...

embu jiweke smart mwanamke vaa upendeze si kila akija anakukuta na likitenge lango kifuani maziwa hata braa ujavaaa kila siku........au unalidera lako hilo hilo kila siku....

Hhahahahahha...This is the Miss chagga herself....goood
 
Pole hali hiyo inatokea lakini msipokuwa makini ni hatar kwa ustawi wa ndoa yenu especially kama mmoja wenu tayar kaikubal hiyo hali na kuona kawaida ilhal mwingine tayar ni mhanga (wewe) wa jambo hilli. Jitathmini before that see what went wrong , you can fast n pray too surely God will talk to you wahusishe watu kadhaa kwenye prayer Mungu ndiye tabibu wa ndoa yako dada.
 
miss chagga baada ya kusoma post yako vizuri, kwakweli you wrote very touching post and i can feel it in my heart,sasa naomba nitangaze ndoa kwa mdogo wako
 
Last edited by a moderator:
hatujagombana, hatujakosana, tunalala kitanda kimoja ni mke na mume wa 5 years sasa hivi, tunaweza kukaa 2 months hatujatenda tendo la ndoa, mwenzangu wakati mwingine anapataga wet dreams, najiuliza maswali mengi juu ya hili majibu sipati, vipi amenichoka? Hana hamu na mimi, hajisikii au ana nini?

Nataka kufahamu kutoka kwenu vipi hii ni kawaida au tatizo? Kumbukeni hatujagombana kabisaaa na hii ilianza mara kwa mwezi mnakutana mara 2 ikaja ikawa mara 1 na sasahivi inapita ata miezi 2 hamjakutana, nilishaongeanae kuwa hii hali sio, baadae inaweza kutusababishia matatizo anasema nayeye anajiona tu hivo.

Lingine linalonikwaza majukumu ya ndani kila ukimuomba pesa anasema iko bank wakati anajua kama tunahitaji kufanya manunuzi basi ata ya chakula au chochote kitakachohitajika, sasa najiuliza hivi huduma za ndani ngumu unyumba nao tatizo sugu niendelee kuvumilia au nitafute mwafaka?

Jambo la msingi kwangu ni kuwa namshukuru mungu dini imeniingia sana na sipendi kabisa kuwa na mchepuko siku zote niliamini mume wangu ni bora kuliko kijana yeyote, miaka yetu ya kawaida sana ni 40 kwa 35 ambapo bado wala hatutakiwi kuchoka kiaisi hiki, naanza kuamini kuwa matatizo mengi ya ndoa mara nyingi yanachangiwa na wanandoa.

Maana hapa leo hii mimi nikipandwa na shetani la kuzini hili tatizo atakuwa amenisababishia nani kama sio yeye asiyekuwa na hamasa na mimi?

nianzekujibu toka chini

unapokiri pepo la uzinzi dhahiri una hilo pepo so nalo.ni tatizo wewe

kuhusu no kiss..wala.. Kunaneno umea.dika anaota usiku ujaelezea anaota nn..kwangu mm nilishapata tatizola muzee wako..ana spiritual wife..usiku mkilala linamjia anazini nalo

kuhusu matumizi hili jini.mahaba ama spiritual wife hataki kabsa kusikia hilo..way ya kukuseparate nae n pamoja na yeye kutotoa matumizi umchukie

sasa basi unaweza ona kuna pepo la uzinzi upande wa pili spiritual wife

hapo ni maombi ya kufunga na kuomba basiiii na muache dhambi

pepola uzinzi huja kama umefanya.na.mtu anakuachia..same to spiritual wife.au hisb..haji na meli..inalala na mtu anakugaia bila wewe kujua..so mumeo alitoka.nje ya.ndoa akayapata hayo

ntarudi tena tufanyeje...


Mungu awatie nguvu mmoja asilale sebulen ama chooni..shukuru mungu nenda magorofa ya osterbay..masaki yana siri nzito we afadhali
 
nashawishika kusema kwamba wewe Mkebora ndio tatizo. kwani ulishawi kumtaka/kumshawishi @kut!e akakataa? kwanini unategemea yeye ndiye akuanza na sio wewe uanze kumshawishi? unategemea yeye awe anakudandia tu kama kuku bila wewe kumtia/kumuonyesha hamasa yoyote? utakaa sana...wewe endelea kubania k yako wakati mwenzako anajigegedea michepuko kwa kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:

Maana hapa leo hii mimi nikipandwa na shetani la kuzini hili tatizo atakuwa amenisababishia nani kama sio yeye asiyekuwa na hamasa na mimi?

hii kauli yako ya mwisho ndo ipo moyoni mwako...nafikiri unatafuta uungwaji mkono..

Muhimu angalieni nini kilitokea au kupungua kisha mrekebishe....
 
Hivi kumbe na nyie jinsia ya kike mnamiss mshidede eehhh..!?

Kama hakupi basi mbake tuu, kuwa mbunifu mama
 
Duuh Ee Mungu tusaidie na Hizi ndoa .. Pole sana Dada...Yaani hapa I'm trying to picture myself in your shoes .. Duuh.. honestly Binafsi ningejipendekeza mpaka nipate haki yangu , ni mume wangu ati why I have to wait on him to start me .. but tuko tofauti. My dear sister I thank God kwa kuwa ndani yako na wewe kuwa ndani yake. Hebu jaribu kujipendekeza kwake kwa kumuanza .. Ikishindikana usimuogope MPE black and white kwa upole tuu . Mueleze unavyoumia moyoni na wewe ni mkewe anategemea nani atakusaidia kwa mahitaji yako. Najua umezungumza nae but try again my dear usikate tamaa. Try pia kufunga na kuomba Mungu amshuhulikie , akupe wisdom ya kumu handle it na kujazwa nguvu za uvumilivu .. Thanks..
 
Back
Top Bottom