Miezi 3 inaelekea NFRA hawajalipa mahindi mkoa wa Ruvuma kwa wakulima. Pia kodi kwenye malipo kuna kodi mkulima anakatwa

Shida wafanyabiashara wanawauzia NFRA. Serikali kununua haya mazao lengo ni kuwapa soko wakulima.

Na sijui kwa nini mkurugenzi wa NFRA hawasimamii mameneja wake kuzingatia hili.

Mkulima ndiye anatakiwa aiuzie NFRA, siku serikali ikiamua kusimamia hili kuna watu watafilisika.
Magufuli aliwanyoosha kwenye korosho kwa kufanya uhakiki kama kweli ni mkulima.

Hii inabidi iwe kwa mazao yote yanayonunuliwa na NFRA, ni lazima uwe mkulima ili uweze kuuza NFRA.

Haya malalamiko huwezi kuyasikia, isipokuwa hawa traders ndio vimbelembele tu. Ole wenu, nasema tena ole wenu. Nimewafungulia code, kilio kipo jirani.
Mwaka huu hata sisi wakulima wadogo tumepeleka mahindi japo urasimu ulikuwa mwingi ,shida ni malipo sijuwi huwa wanasubiri Nini Kila kitu kinaingizwa kwenye mfumo,kiasi kwamba hata mtu wa Dodoma anajua watu hawajalipwa,ila wanakaa kimya tu, wanatukomoa makusudi
 
Shida ni hao wafanyabiashara na ndio wanahonga sana wapewe kipaumbele kulipwa.
 
Wakulima wanapeleka moja kwa moja either kwa kikundi kama familia au majirani
Shida wafanyabiashara wanawauzia NFRA. Serikali kununua haya mazao lengo ni kuwapa soko wakulima.

Na sijui kwa nini mkurugenzi wa NFRA hawasimamii mameneja wake kuzingatia hili.

Mkulima ndiye anatakiwa aiuzie NFRA, siku serikali ikiamua kusimamia hili kuna watu watafilisika.
Magufuli aliwanyoosha kwenye korosho kwa kufanya uhakiki kama kweli ni mkulima.

Hii inabidi iwe kwa mazao yote yanayonunuliwa na NFRA, ni lazima uwe mkulima ili uweze kuuza NFRA.

Haya malalamiko huwezi kuyasikia, isipokuwa hawa traders ndio vimbelembele tu. Ole wenu, nasema tena ole wenu. Nimewafungulia code, kilio kipo jirani.
 
Niliuza mpunga morogoro kg 1 TSH 900 nashukuru nilipokea malipo yangu last week na nilipima September 23, it took like 3 weeks. Bei ya mtaani efu 75 NFRA wamenunua kwa ef 90,000
Una bahati sana
 
Shida wafanyabiashara wanawauzia NFRA. Serikali kununua haya mazao lengo ni kuwapa soko wakulima.

Na sijui kwa nini mkurugenzi wa NFRA hawasimamii mameneja wake kuzingatia hili.

Mkulima ndiye anatakiwa aiuzie NFRA, siku serikali ikiamua kusimamia hili kuna watu watafilisika.
Magufuli aliwanyoosha kwenye korosho kwa kufanya uhakiki kama kweli ni mkulima.

Hii inabidi iwe kwa mazao yote yanayonunuliwa na NFRA, ni lazima uwe mkulima ili uweze kuuza NFRA.

Haya malalamiko huwezi kuyasikia, isipokuwa hawa traders ndio vimbelembele tu. Ole wenu, nasema tena ole wenu. Nimewafungulia code, kilio kipo jirani.
Hili ndo suala ambalo nilizingatia wakati nimeamua kuuza mpunga wangu kupitia NFRA maana nililenga pesa ije kunisaidia kuvina mpunga mwingine ulikuwa unachanua so nkachagua NFRA maana bei ilikuwa kubwa 900 per kg na mtaani 750 so nlipima September 23,na Oct 16 muamala umetiki NA nmevuna tarehe 18 October. Nashukuru lengo limefanikiwa. Kwa systemya malipo ya mwaka huu haikuwa rafiki kwa wafanyabiashara wanaonufaika kwa mzunguko
 
Ccm kupitia wizara ya kilimo ndiyo wauwaji wa wakulima Tanzania

Yani wao kazi yao kubwa nikuuwa masoko.ya wakulima Tanzania

Hili lipo wazi

Soko la Kenya,Somalia,sudani, lililo tafutwa na wafanya biashara na wakulima wa tanzania selikali wame liuwa

Wakenya sikuhizi Wana agiza mahindi Mexico"

Kuna soko la mwaka huu la Zambia,Malawi na Botswana ambalo pia Lili tafutwa na wafanya biashara na wakulima wa tanzania

pia nalo serikali yetu kupitia wizara ya kilimo wameliuwa"

wameliuwa kwa kufunga mipaka na kuzuia mahindi yasiende nje kwa lengo la kununua wao na kwenda kuuza wao

sio wafanya biashara Wala wakulima

na ajira zenyewe ndiyo hizi na kila.fursa wanayo igundua wanainchi serikali Ina pokonya

Bashe ndiyo tatizo pale wizarani Ila anankumbatiwa na mwenyekiti mwenyewe

Usione watu hawataki kujiandikisha watu Wana hasira.mkuu

Ccm.wamezidi urafi
 
Shida wafanyabiashara wanawauzia NFRA. Serikali kununua haya mazao lengo ni kuwapa soko wakulima.

Na sijui kwa nini mkurugenzi wa NFRA hawasimamii mameneja wake kuzingatia hili.

Mkulima ndiye anatakiwa aiuzie NFRA, siku serikali ikiamua kusimamia hili kuna watu watafilisika.
Magufuli aliwanyoosha kwenye korosho kwa kufanya uhakiki kama kweli ni mkulima.

Hii inabidi iwe kwa mazao yote yanayonunuliwa na NFRA, ni lazima uwe mkulima ili uweze kuuza NFRA.

Haya malalamiko huwezi kuyasikia, isipokuwa hawa traders ndio vimbelembele tu. Ole wenu, nasema tena ole wenu. Nimewafungulia code, kilio kipo jirani.
Wafanya biashara Wana masoko ya kupeleka mazao lakini serikali inawa zuia wasipeleke kokote

Na biashara nisehemu ya maisha ya watu Sasa serikali ikizuia hao wafanya biashara watafanya kazi gani?

Waanze kuuza viungo vya arbino au wanunue mahindi kwa wakulima na kuiuzia serikali?
 
Ccm kupitia wizara ya kilimo ndiyo wauwaji wa wakulima Tanzania

Yani wao kazi yao kubwa nikuuwa masoko.ya wakulima Tanzania

Hili lipo wazi

Soko la Kenya,Somalia,sudani, lililo tafutwa na wafanya biashara na wakulima wa tanzania selikali wame liuwa

Wakenya sikuhizi Wana agiza mahindi Mexico"

Kuna soko la mwaka huu la Zambia,Malawi na Botswana ambalo pia Lili tafutwa na wafanya biashara na wakulima wa tanzania

pia nalo serikali yetu kupitia wizara ya kilimo wameliuwa"

wameliuwa kwa kufunga mipaka na kuzuia mahindi yasiende nje kwa lengo la kununua wao na kwenda kuuza wao

sio wafanya biashara Wala wakulima

na ajira zenyewe ndiyo hizi na kila.fursa wanayo igundua wanainchi serikali Ina pokonya

Bashe ndiyo tatizo pale wizarani Ila anankumbatiwa na mwenyekiti mwenyewe

Usione watu hawataki kujiandikisha watu Wana hasira.mkuu

Ccm.wamezidi urafi
Walizuia mahindi yasiende Zambia mpakani tunduma,tumewapa mahindi wapeleke wao hawataki kutulipa ,sijui niwaite jina Gani!
 
Walizuia mahindi yasiende Zambia mpakani tunduma,tumewapa mahindi wapeleke wao hawataki kutulipa ,sijui niwaite jina Gani
Kazi kubwa ya wizara kwa Sasa no kuuwa wafanya biashara ili kuwa tokomeza wakulima hakuna kingine
 
Wafanya biashara Wana masoko ya kupeleka mazao lakini serikali inawa zuia wasipeleke kokote

Na biashara nisehemu ya maisha ya watu Sasa serikali ikizuia hao wafanya biashara watafanya kazi gani?

Waanze kuuza viungo vya arbino au wanunue mahindi kwa wakulima na kuiuzia serikali?
Pamoja na kuwalaumu wafanyabiashara bado nikawaangazia pia watendaji wa serikali.

Hizi taasisi zikifanya vizuri hatuna sababu ya kuzuia watu kuuza popote wanapotaka.
 
Ni kweli Mimi mwenyewe nadai ni wiki ya Tano hatujalipwa,na msimu wa kilimo uko mlangoni sijui nani aliniroga kuwapa mahindi hawa nfra,😞😞
Mimi inaenda mwezi wa pili, nimepimia kituo cha mkombo, wilaya ya Kalambo mkoa wa Rukwa. Najilaumu sana kuwauzia mahindi bola ningeuza mtaani tu japo kwa hasara ila sio kwa mateso haya ninayopitia.
 
Habari za asubuhi Watanzania wenzangu.
Kwenye nchi hii kuna mambo yanaenda hovyo sana toka utoaji wa taarifa,maandalizi na mfumo mzima wa NFRA kama wakala wa chakula nchini.
Ikumbukwe wakala huyu alijinabaisha kuwa sasa atajiongezea jukumu lingine la kufanya biashara na wakulima wa mahindi nchini.
Ukiingia kwenye tofuti na matangazo yao utakuta wanasema nchi mbalimbali zinahitaji mahindi mfano kongo na Zambia na Mawali wanahitaji Unga toka nchini kwetu. Kwa maelezo yao sio chini ya tani 1.1Milion za mahindi zinatakiwa na nchi kama Kongo na Zambia.
Usanii ulianza kwenye bei ya ununuzi wa mahindi kwa wakulima, bei hazikutamkwa na NFRA bali Rais akiwa kwenye ziara zake za kikazi alianza kwa Tsh 600 kijijini na Tsh 650 mjini. Wala haikupita saa 24 akatengua kuwa mahindi yatanunuliwa Tsh 650 kwa Tsh 700.
Mapoja na maelekezo hayo NFRA hawajawahi kutoa tamko la bei ya mahindi vijijini na mjini bali mawakala wamewaachia wanunue kwa Tsh 500,550 na 600 kulingana na upepo ulivyo.
Pamoja na janja janja za mkulima kulipwa kwa kukatwa kodi n.k bado hizo hela hazitoki.
Nini kinasumbua NFRA na wakati wameingia mkataba na baadhi yq nchi kununua mahindi?
Bashe mzinguaji sana
 
Watawalipa msimu wa Kilimo ukikaribia msije kutumbua pesa mkashindwa kulima tena tunapata njaa.
Nilime mimi halafu unipangie jinsi ya kutumia kipato changu,thubutuu.Utawaibia watakao kubaliana nawe kuibiwa ila sii anayejua huo ni wizi.
 
Back
Top Bottom