sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia,
Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title ya kua uko chuo ndo imeshaondoka.
Nakumbuka niliwahi kwenda kuomba kazi ya kubeba viroba vya unga tazara kwa Bahresa, nikaambiwa niende na kitambulisho, sijui ilikuaje sikurudi tena.
Baada ya miezi sita, akili inakaa sawa una adjust na kitaa, mambo yanaanza kufunguka