Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

Siku ya kwanza kukutana na mke wangu mashine iligoma kabisa, niliona aibu sana japo alinitia moyo hatimae kesho yake kitu ikafanya kazi. Lakini kama alivyosema mwenye uzi omba yasikukute.
 
Vinamda basi!!
 
Mkiambiwa msifanye ngono kabla ya kuoana hamtaki.

Umelikoroga sasa ulinywe.

Wacha watu wakuchapie mkeo kama ulivyowachpia kabla hujaoa.
 
SAd story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…