Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

Broo najua unampenda sana JPM kiasi huamini kama hayupo duniani. Ndo hivo itabidi ukubali tu mzee hayupo na maisha yanaendelea. Nchi haiwezi kusimama kisa mtu mmoja hayupo. Waliopo wanaendeleza yale mema aliyoyafanya kama ambavyo yeye alipokea kijiti kwa mwingine. Ushauri wangu ni kuwa mwache mzee apumzike kuliko kuibua hoja zinazomhusu yeye matokeo yake ndo hivo kuna ambao watakuunga mkono na kuna ambao watakutukana kwa kumsifia JPM kwasababu mtazamo ni personal kila mmoja ana mtazamo wake juu ya Utawala wa JPM. So mwache apumzike. Mazuri hayahitaji nguvu kuyatangaza, yanaonekana yenyewe
 
Ndugu yangu Mwande na Mndewa ikitimia mwaka mmoja tangu JPM aondolewe nchi hii na wote wenye akili timamu tunapaswa kusherehekea uhuru mpya kwa watanzania. Tunapaswa kusherehekea kurudi kwa "order" katika nchi yetu. Tunapaswa kusherehekea mwisho wa upoteaji wa watanzania wenzetu katika mazingira ya kutatanisha. Huu ni mwaka mmoja baada ya uongo na unafiki uliokithiri wa viongozi wetu walioufanya kwa kujua au kutokujua kutokana na uchawi wa nduli yule.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Muacheni slow slow jamani.
Lazima tuwaseme waasisi wa Wizi wa Uchafuzi mkuu 2020

Ati... "Iwapo Uchaguzi utakuwa wa HURU na HAKI basi CCM ijiandae kukabizi DOLA kwa CHADEMA"

Sasa magoti walikuwa wanamdanganya nani? Bogus kabisa.
 
Lazima tuwaseme waasisi wa Wizi wa Uchafuzi mkuu 2020

Ati... "Iwapo Uchaguzi utakuwa wa HURU na HAKI basi CCM ijiandae kukabizi DOLA kwa CHADEMA"

Sasa magoti walikuwa wanamdanganya nani? Bogus kabisa.
Mimi ni mkereketwa mkuu wacha ninyamaze
 
Uyo alishakufa, fanya mishe zingine tu
 
Shetani ni shetani hata impambe vipi! Angalau nchi imepumua kidogo! Tunachoombea ni huyo shetani kutupwa jehanam!
 
Pole MATAGA ndio hatarudi tena hata ufanyeje!

Naomba utueleze watanzania hao uunaowasema unaunganisha na watumishi wa umma waliopitia kipindi cha miaka 6 bila kupanda vyeo wala mshahara?
 
Ila tarehe umetudanganya aise hata ughaibuni tarehe sio hiyo
 
Leslie Mbena,
Sasa ID nyingine ya nini??

Hukuupata ubunge wa kujipendekeza wakati mwendazake yu hai, je kwa sasa kwa mabandiko haya, utapata hata huo utendaji wa kijiji??

Everyday is Saturday................................😎
 
Unapoteza mda wako tu
Amfuate,

Unazungumzia watu kujaa na kuruka kuingia uwanjani! Watanzania ndo wapo hivo kwa ushamba na kushangaa jambo.Tena ukiwa maarufu na ukafa ghafla watafurikaaaa so usijisifu et walivunja mageti ooh kuruka.Hata Dr.Shika walijaa barabarani huko kwao siku amekufa,Kanumba,Ruge,hata akifa huyo jamaa anayejisifia kunywa bia ghafla na wakasema ataagwa uwanja wa taiga patajaa balaa.

So usituletee porojo zako hapa wewe msaka cheo.

Me nasema hivi AFE TENA HUKO kwa unyama na ubaya usio wa kubinadamu alioufanya.Unaua wanadamu wenzako?
 
Miezi nani tuu utaendelea kuhesabu harudi tena fanya yako maisha yamekupiga unamkumbuka mwendazake
 
Stupid, tunamtaka Ben Saanane. Tunamtaka Azory. Maiti za kwenye sandarusi coco beach Ni za Watanzania wenzetu Ni akina Nani. Stupid, acha ujinga wa miradi, miradi mbele ya roho za watu? Nonsense
Pumbafu kabisa wewe! Unajua watanzania wangapi walikufa kwa ubovu wa miundombinu?? Au nao sio watu? Hao wanasiasa wako uchwara ndio watu pekee? Unajua umasikini unatesa kiasi gani wananchi? Unajua wangapi wamekufa kwa kukosa dawa mahospitalini? Unadhani hao sio watu?
 
Wamekufa Mitume wa Mwenyezi Mungu na ndiyo vipenzi wa Mwenyezi Mungu, sembuse nyerere na magufuli!!!!


Mnakufuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…