Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

Hakika Taifa, Afrika na Dunia nzima itamkumbuka huyu mzalendo wa kweli na shujaa wa Afrika.Ilikuwa zawadi ya pekee kutoka kwa Mungu.
 
UNGEANDIKA MIEZI NANE YA BILA WATU KUPOTEA AU KUFA KIAJABU AJABU.
 
Yaani bila Magufuli. Serikali imerudi kama ilivyokuwa 2015.Season ya michongo hii kwa kina Kinana. Tembo watapingua tena.
 
Hapa mie sisemi kitu!! ila mleta mada Katukosea sana!!! sisi wana JF!! Kusema eti tuli/tuna tukana?? mwee?? yeye Jiwe mbona aliwasema watu hadharani? ikawa ndo slogan yake!! na sisi tunasema!! eti kosa! mweee! sisi ma Idealists tuna tukana kweli???

Sasa wewe mleta mada ndo umetukana!! hii statement yako imgeuke iwe yake mleta mada, tena akome kutubebesha mjitabia wa baba yake alio utumia na ndo ivo mifuasi ya dikteta Dunia yote ilivo au

Aombe Msamaha Wa dhati! hadharani!! vinginevyo afungiwe tu huyu kuja humu JF! kusema Mambo ya ukweli yaliyo jiri siyo tusi!! mleta mada kumbuka Mungu aliposema namnukuu ''Kwa maana mshahara wa Dhambi ni mauti bali ................alikuwa hatanii!!

Jiwe alijua dhambi zake ila sababu ya kiburi cha uzima! na kulewa sifa za watu km mleta Mada akasahahu kutubu!! na walimsahaurisha maksudi asitubu!

Mungu alidhamilia tujifunze sisi wanadamu!! sasa huyuJiwe bila shaka alikuwa anaenda kanisani kushinda tu! ili apoteze muda! na kufanya show off! wewe mleta mada pia!!! subiri tu kutumikia adhabu km ya babako jiwe!
 
Wanachama NSSF wamekudharau na kukupuuza
 
Leo tarehe ngapi vile?
Hebu rudia kusoma na urekebishe ulichoandika maana wengine huwa tunasoma kila kitu kabla ya comment wengine nao huwa wanasoma anasemwa nani ndio wa comment
 
Stupid, tunamtaka Ben Saanane. Tunamtaka Azory. Maiti za kwenye sandarusi coco beach Ni za Watanzania wenzetu Ni akina Nani. Stupid, acha ujinga wa miradi, miradi mbele ya roho za watu? Nonsense
Stupid square! Hizo maiti walishakuja ndugu zao wakasema ni watu wao? Shenzi kabisaa msiokuwa na akil maskin wakubwaa..nyani kabisaa..mtaishia na umaskini wenu kila kukichaa..bwegeee..
 
unaweza kukuta mtaani kwako wanakuheshimu kinoma mwanangu,ukiwa nyuma ya keyboard unabadilika sana.
 

Mabaki ya Sukuma Gang[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Stupid, tunamtaka Ben Saanane. Tunamtaka Azory. Maiti za kwenye sandarusi coco beach Ni za Watanzania wenzetu Ni akina Nani. Stupid, acha ujinga wa miradi, miradi mbele ya roho za watu? Nonsense
Kuna wananchi 6 wameuawa kule mbogwe kwa kuvamiwa kwenye migodi yao na mbunge ametoa kilio kikubwa sana bungeni. Kwani bado rais ni JPM....
 
Damu ya maelfu ya watu wliokukufa kwa Uviko 19 sababu ya maamuzi yake ya hovyo kukataa chanjo , barakoa nk itamshughulikia huko alipo
R. I. P Balozi Kijazi na lilokuwa jopo la kuwaapisha watu
 
Kweli huwezi kupendwa na wote Roho huwa inaniuma nikiona huyo baba anatukanwa jamani [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Nonsense boya kabisa miundombinu na kuuwawa ni sawa ficha hii comment yako watoto wako watajua ulivyomjinga na ndugu zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…