Miezi 8 sasa, bado anataka nimpe je kuna madhara?

Miezi 8 sasa, bado anataka nimpe je kuna madhara?

NGOSWE.120

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
219
Reaction score
233
Wana jamvi, heshima yenu wakuu.

Nina mpenzi wangu ana mimba ya miezi 8 kwa sasa after two weeks ataanza mwezi wa tisa, lakini bado anataka yale mambo matamu ya kupeana raha ndani ya 6 x 6.

1. Je niendelee kumpa dude yake aleee kwa raha zake kadiri atakavyo?

1. Je hakuna madhara ya ku do wakati mimba imezidi miezi zaidi ya saba?

Natanguliza shukrani kwa maoni yenu.

Mungu awabariki sana!
 
Mpeee mambo tena wakati huo anakuwa so hot anataka sana asuguliwe mpe ila tafuta syle muafaka!!!
 
faidini kwa raha zenu.endelea kutanua njia,hakuna madhara yoyote yale

Asante sana mamiii, ila nilisikia hiyo kitu husababisha siku ya kujifungua manesi huwa wanaporomosha sana matusi ..eti kisa kwanini ku-do hadi mtoto anachafuka! ni ya kweli hayo au ni myth tu ambazo hutumika kutisha watu wasile raha til last minute?
 
Hujui hiyo miezi ya mwisho mwisho ndiyo wanaweka masikio ya mtoto? Jivunge mwanao aje azaliwe bila masikio sijui utamlalamikia nani.

nimekusoma mkuu! nitazingatia ushauri wako.
 
​lakini zingatia stahili inayotakiwa hapo ni MSAADA KWENYE TUTA.
 
Mpe mpaka aseme basi!! mwenzio alikuja kulalamika hapa haitwi na mkewe wewe unaombwa mpeeeeeeee! sema mtu wangu ndio tena usifanye kama unatwanga mpunga poleee poleee mdogo mdogo aisikilizie na huku kichanga msikisumbue kama kimelala..
 
Wana jamvi, heshima yenu wakuu.

Nina mpenzi wangu ana mimba ya miezi 8 kwa sasa after two weeks ataanza mwezi wa tisa, lakini bado anataka yale mambo matamu ya kupeana raha ndani ya 6 x 6.

1. Je niendelee kumpa dude yake aleee kwa raha zake kadiri atakavyo?

1. Je hakuna madhara ya ku do wakati mimba imezidi miezi zaidi ya saba?

Natanguliza shukrani kwa maoni yenu.

Mungu awabariki sana!

yA NGOSWEEE.......................???!???
 
Mkuu unaweza kula mpaka siku ya mwisho lakini ili kuondoa doubt ukita kumaliza toa nje, si unajua sperms za mwanaume huwa hazitoki zote kwenye njia ya uzazi. Kingine cha kuzingatia ni kutokutumia nguvu nyingu katika ku sex, tumia style ambayo haitamuumiza mkeo/mpenzi wako na iliyo bora kwa wakati ni mbuzi kagoma tena ufanye baada ya kuhakikisha njia imekaa tayari kwa maana ya maandalizi mazuri.
 
ndugu yangu mi nakushauri uvae condom mambo ya kusema utatoa mpira nnje na unataka ushindi haito wezekana kwa faida ya mtoto asije kutoka nnjiti
 
Kuwa makini mimba isije ikatunga ndani ya mimba nyingine ikawa ni double click.
 
Asante sana mamiii, ila nilisikia hiyo kitu husababisha siku ya kujifungua manesi huwa wanaporomosha sana matusi ..eti kisa kwanini ku-do hadi mtoto anachafuka! ni ya kweli hayo au ni myth tu ambazo hutumika kutisha watu wasile raha til last minute?
hao manesi,ni njaa zao tu,na ukosefu wa huruma kwa mama .kujifungua salama,hilo ndio la kuomba
 
Mpe DUDU huyo ila kifo ch mende iz NOT applicable.
 
Back
Top Bottom