Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Kama ni Breech presentation, delivery is possible without any complications.Habari wandugu! poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia!
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yyte atageuka tuu! sa sjaelewa vizur, anatutia moyo au la! nna hofu sana jamn.
Habari wandugu! poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia!
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yyte atageuka tuu! sa sjaelewa vizur, anatutia moyo au la! nna hofu sana jamn.
Sijakuelew hpo, mkuu.Kama ni Breech presentation, delivery is possible without any complications.
shukrani ndugu..Atageuka tu usiwe na hofu,usisahau maombi umekaribia uwanja wa vita,all the best
I mean kama mtoto ametangliza miguu (Breech presentation) delivery inaweza kufanyika bila tatizo.Sijakuelew hpo, mkuu.
Narudia tena nenda Hospital kubwa Mwone Dr Senior, mtu mzima, mda ukiisha mfumo wa chakula cha mtoto waweza kuwa hauko tena active, thank me later, pamoja na Cheti udaktari ni udhoefuKafanyiwe operation usisikilize mtu, I almost lost a wife kwa kumsikiliza daktari mjinga Selian Arusha Tukae tu, then specialist same hospital alipokuja akasema andaeni kitanda
NAFANYA HIVYO KAKA..Narudia tena nenda Hospital kubwa Mwone Dr Senior, mtu mzima, mda ukiisha mfumo wa chakula cha mtoto waweza kuwa hauko tena active, thank me later, pamoja na Cheti udaktari ni udhoefu
ONGEA TU KAKA! USJALINgoja nitulie niandike vizuri utanielewa; mimi Sio daktari, ni engineer ila kwa shida nilizopata sitaman mtu mwingine apitie!
Hyo ultra sound ilionyesha mtoto yuko kawaida au ilikuwaje?TULIENDA NDUGU! TURUDI TENA KWA ULTRASOUND AU TARATIBU NYNGNE?
HUyu amemaliza kila kitu, fuata ushauri huu na si vinginevyoNarudia tena nenda Hospital kubwa Mwone Dr Senior, mtu mzima, mda ukiisha mfumo wa chakula cha mtoto waweza kuwa hauko tena active, thank me later, pamoja na Cheti udaktari ni udhoefu
Ni kweli mkuu tujifunze kuheshimu pia ile hali ambayo unakuta unaambiwa kitu na mtaalam unahisi kabisa analupeleka chaka ila unajipa moyo kuwa it will be all right. IT WON'TMtoto kugeuka ni process ya mda; na mechanism ya function ya Mwili kuna sababu kwa nini hajageuka.
Mimi nipo makini kidogo, baada ya mda kupita, just 4 days nikaenda piga ultra sound, nikaambiwa hajageuka, nenden Hospital...