Ukilea mimba ukiona wamama wanavyoteseka huwezi kabisa telekeza mtoto au mdharau mzazi mwenzioHakika mkuu,tena akijifungua salama Shukuru Mungu....uzazi sikuhizi ni nusukifo
Kila kiumbe kina stahili kupendwa. Tuondelee ufeminist wakoMpende sana mama mzazi,mpende sana mkeo mama wa watoto wako.Mungu awabariki sana.
Happy Valentine's day.
Heshima kwa wanaume wote ambao wanatimza wajibu wao kipindi chote cha ujauzito, bila wao kwa kweli safari ni ndefu ila uwepo wao unafanya tuone raha ya ujauzitoMpende sana mama mzazi,mpende sana mkeo mama wa watoto wako.Mungu awabariki sana.
Happy Valentine's day.