UPUMBAVU MTUPU
Hizi propaganda za kumpaisha mwanamke na kumsahau mwanaume huo ni ushenzi, mtoto hazaliwi bila jitihada za baba, baba ndie Mtoaji wa Nguvu za uzao, nguvu ambazo hutunzwa tu ktk tumbo la mwanamke, hivyo basi wababa wapewe heshima kama mnayowapa hao wanawake.
Huwa nawaona makolo sana wanaosherekea siku ya mama na kumsahau baba, hawa wote ni washenzi, kamwe usiugawe upendo wako kwa mzazi mmoja, labda kama ulilelewa na single mother, or otherwise wababa waheshimike.
Hizo movement zenu za kishenzi za kuwapaisha wazazi wa kike mkome kabisa huo ni utoto na upumbavu, ndiomaana mnapishana na baraka sababu ya kuwasahau baba zenu na kuwakumbatia wamama.
Baba ndie anaetoa baraka na sio mama, mama hatoi baraka hiyo haipo hata kiimani, ndiomaana hata ktk imani mnajifunza jinsi gan wazazi wa kiume walikuwa wakigawa baraka kabla ya kufariki(mfano ibrahimu, akina isaka n.k) na wengineo.
Baba ndiye mwenye funguo zako za mafanikio, ukimdharau unayadharau maisha yako, Baba ndye Mungu wako hapa dunian then anafuata Mama, acheni kufuata utandawazi unawaharibu mnapishana na mafanikio kwa kufuata mikumbo ya washenzi walioanzisha hizo movements za kumuonea huruma mwanamke na kumsahau baba.
Ukweli mchungu