Miezi mi-3 tu nakukinai, What is the problem??!!!!


kwan lazima uoe?
kuna watu ni bachelor for life na hanana tatizo. wewe unasumbuliwa na kuona wenzio wanaoa,
we endelea kupiga tu kishkaji
 
u hav a psychological prbl mwone shrink kwa msaada
 
muhuni tu huyo,,,,,,
 
Well said my dia..
Huyu bwana anaonekana anapenda sana ngono..just to say the truth..
Ni kweli kabisa kama unampenda binti just for ngono lazima "Law of Diminishing Marginal Utility" ita'apply' tu..
Jipe likizo ya ngono bwana hata mwaka mzima..
Sawa bwana kama ndio tafsiri iliyopo,

But ningekua apenda lile tendo tu la ngono nisingejishughulisha kua nao kimahusiano, ningenunua tu niepuke stress na kubanwabanwa. real napenda nipate wa kimahusiano zaidi kuliko kingono, sema sasa ndio nakinai (Mtu, sio K) mapema!!!
 
niko na tatizo km lako but kwa sasa nimeamua kuwa single angalau kwa mwaka mmoja,i blive next relationship nitakayokuwa nayo itadumu zaidi,and my b italeta ndoa.
Kwahiyo unataka kudanganya watu kuwa kwa tabia kama za huyo mwenzio unaweza kukaa mwaka mmoja bila sex? Au kuwa single maana yake ni nini? Au ni kutokuwa na mwanamke maalum isipokuwa kila siku unachapachapa tu yeyote utakayemkamata?
 
when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!
 
Ahaaaa, kumbe umeshajua tatizo lako ni lipi. Sasa nakushauri utafute K isiyokuwa kwa Mtu maana wewe huwa unakinai Mtu na sio K! Hiyo inaitwa The Law of Reversing Problems! Upo hapo bingwa?
 
Ahaaaa, kumbe umeshajua tatizo lako ni lipi. Sasa nakushauri utafute K isiyokuwa kwa Mtu maana wewe huwa unakinai Mtu na sio K! Hiyo inaitwa The Law of Reversing Problems! Upo hapo bingwa?

Kuna K isiyokua kwa Mtu?
Issue ni mtu mkuu wangu, sio K.
Nifahamishe kidogo kuhusu hii law, including assumptions zake, applicability na faida yake
 
Kaka,
Sijisifu, but Poverty v/s Mimi
=Mbingu v/s Ardhi.

nawiwa kusema kuwa wewe ni maskini wa akili fikra na roho ,ni chungu lakini mezeeaaaaa na konokono kwani atalitelezesha
 
nawiwa kusema kuwa wewe ni maskini wa akili fikra na roho ,ni chungu lakini mezeeaaaaa na konokono kwani atalitelezesha

Duh,
Haya bana,
Kuishi kwingi kuona mengi, huu msemo wa "kumezea kwa konokono" nauongezea kichwani,
Ahsante mkuu, but nisaidie mawazo juu ya hili tatizo pliz!!
 
jamani wengne hatujui hiyo law ya diminishng margnal utility nijuzen tafadhal
 
Hahahaha nakushangaa sana mkuu sasa ulitaka wabadilieje? Mh yaaan leo mweusi kesho aewe mweupe au leo mnene kesho awe mwembamba ? Ckuelewi. Nadhani imefika mahali ujitambue mwenyewe kwamba huridhiki kuwa na mwanamke mmoja kwasababu ukingizia wadada hawabadiki cdhani kamawewe mwenyewe unaweza kujibadilisha labda kimaumbile kimuonekano au cjui unaamanisha nin. Pia ucjiendekezo na hiyo tabia yako itakupotezea vingi katika maisha :hatari::hatari:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…