Tetesi: Miezi michache tu mbele wapo watumishi wa umma watakaotoa pesa kwenye ATM machine huku wanatoa machozi.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Kama nilivyoandika uzi mwezi May 2017 "Msoto mwingine kwa watumishi waja" ndani yake nikaelezea kuwa watu wasitarajie ongezeko la mshahara mwezi Julai 2017 walionielewa walielewa.

Sasa nawaambia jambo lingine kuwa miezi si mingi kuanzia leo watumishi wa sekta fulani watatoa pesa za mshahara huku wanalia baada ya kulimwa pesa ili wafanane na wale wa serikali kuu.

Mi simo kwenye mjadala, nakaa pembeni.
 
Watakuwa ni waalimu tu. Ndo wanaonyanyashwa sana inchi hii.
 
inamaana mashirika kama banfari, tra, tanroad au unamaana gani mkuu ebu tudadavulie maana akili ishawaka hapa
 
Ni Sawa tu . Tushajiandaa
 
Safi sana hii. Adabu na heshima itakuwepo kati ya taasisi na serikali kuu
 


Ndiyo ile miezi 15 waliyosema imefika?
 
kha! mbona itakuwa kiyama? sijui kama kutakuwa na kazi tena hasa ktk taasisi.
 
Benki kuu na TRA
 
TRA, VETA et al ndani ya LAWSON!
 
Moja ya hadidu ya rejea waliyopewa bodi ya pili ya mishahara ni kuangalia hilo ulilolileta mdau.

Upande wa pili kuna watakaoshangilia kidogo kwani watumishi walio katika mazingira magumu kama wauguzi na waalimu wataangaliwa na kuonwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…