Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi siyo hivyo mnavyofikiri kwamba kuna vijana wengi wako mtaani. Wakiajiriwa itawachukua miaka kumi kuweza ku master kazi ya kukusanya kodi. Sasa katika kipindi hiki cha mpito unategemea nini?
Mwalimu ana mshahara gani kulinganisha na wafanyakazi wa serikali kuu? Tunapambana na hali zetu. Tuacheni na maumivu yetu.Watakuwa ni waalimu tu. Ndo wanaonyanyashwa sana inchi hii.
Mkuu wapi Engineers wanalipwa fedha nyingi?Hapo ndiomtajua kwa nini Engineers wanalipwa hela nyingi....
Kwa hiyo unataka kusema engineers wanalipwa TSG 8?Mkuu wapi Engineers wanalipwa fedha nyingi?
No.Watanzania tuna wivu wa kishamba sana.
Kwa hiyo unafurahia mwenzako apunguzwe mshahara ili mfanane!!!!?
Pathetic!
Itakusanywa tuna TRA wakipigwa panga la mshahara kodi itakusanyika kweli?
We nae acha kumdanganya na kumchanganya/kumpoteza mwenzio, non allowable deductions zinajulikana na income tax act inaweka kila kitu wazi. Hapo jamaa kakubali yaishe sasa wewe ndo unajikuta gwiji.Mfano ukawa na assest zako kisha kundi la wavamizi wakaja kuziharibRE,na ukapata hasara. Je kwenye kodi hiyo hasara ikiyosababishwa na uvamizi ni allowable deduction ama si allowable? Kama jibu ni yes ama no ni kwa nini?
Sasa ndio ujue. Walipakodi wakubwa huja na argument za hivyo. Na jibu lako kuhusu deductability liko nje ya mada lakini hiyo hasara ya mfano niliootoa ni expense claimable. Mtafikishana na walipakodi mpaka mahakamani kuhusu issue ya hivyo.We nae acha kumdanganya na kumchanganya/kumpoteza mwenzio, non allowable deductions zinajulikana na income tax act inaweka kila kitu wazi. Hapo jamaa kakubali yaishe sasa wewe ndo unajikuta gwiji.
Embu niambie ni mda gani tuna tumia classical probability na sio bayesian kwenye sampling na unipe sababu kwa nn tunatumia R language tukiwa tunakokotoa bayasian inference.Mfano ukawa na assest zako kisha kundi la wavamizi wakaja kuziharibu na ukapata hasara. Je kwenye kodi hiyo hasara ikiyosababishwa na uvamizi ni allowable deduction ama si allowable? Kama jibu ni yes ama no ni kwa nini?
Ni kifungu gani cha sheria kwebye inconevtax act kinazungumzia bayesian sampling? Mbona unaingiza hoja ya disco msibani?Embu niambie ni mda gani tuna tumia classical probability na sio bayesian kwenye sampling na unipe sababu kwa nn tunatumia R language tukiwa tunakokotoa bayasian inference.
Embu nieleze P value ikiwa ndogo kushinda level of significance na ukakubali null hypothesis umefanya type ipi ya error.Ni kifungu gani cha sheria kwebye inconevtax act kinazungumzia bayesian sampling? Mbona unaingiza hoja ya disco msibani?
Hii ni sheria ya kodi au?Embu nieleze P value ikiwa ndogo kushinda level of significance na ukakubali null hypothesis umefanya type ipi ya error.
Hawawezi kuwa waalimu kwani tayari wao wana mishahara duni. Mimi siyo Sheikh Yahya mtabiri, lakini uwezekano mkubwa watakuwa TRA TPA TCRA NSSF GPFF, NHC, at al, time will tell us.Watakuwa ni waalimu tu. Ndo wanaonyanyashwa sana inchi hii.