Tetesi: Miezi michache tu mbele wapo watumishi wa umma watakaotoa pesa kwenye ATM machine huku wanatoa machozi.

Tetesi: Miezi michache tu mbele wapo watumishi wa umma watakaotoa pesa kwenye ATM machine huku wanatoa machozi.

Kuongeza kwa watu wa chini walingane au kuwa karibu wa juu ni ngumu sana. Serikali haina uwezo huo kwa sababu ni gharama kubwa sana, option nzuri kwa Serikali (chungu kwa waguswa) ni kuwapunguzia wenye nyingi ili walingane na wenye kidogo au wakaribiane au wakutane kwenye level fulani bila kuathiri bajeti ya Serikali
Na wakifanya hivi wachache watalia wengi watafarijika
Hakuna watakaofarijika.Watafarijika tu kama wataongezewa mishahara halafu wa juu asiongezewe hapo kuna faraja.Sasa kupunguziwa mshahara mtu kunampaje faraja mtu ambaye kipato chake hakijaboreshwa hata robo tu?
 
Sasa ndio ujue. Walipakodi wakubwa huja na argument za hivyo. Na jibu lako kuhusu deductability liko nje ya mada lakini hiyo hasara ya mfano niliootoa ni expense claimable. Mtafikishana na walipakodi mpaka mahakamani kuhusu issue ya hivyo.
Unalolisema nimelifahamu zamani sana sababu ndo field of specialization yangu, kitu chochote kikiwa realized (destroyed=realized) kinatakiwa kilipie kodi tena ni kama tu kuna gain kutokana na hiyo realization na sio as general as ulivyoiweka wewe.
 
Unalolisema nimelifahamu zamani sana sababu ndo field of specialization yangu, kitu chochote kikiwa realized (destroyed=realized) kinatakiwa kilipie kodi tena ni kama tu kuna gain kutokana na hiyo realization na sio as general as ulivyoiweka wewe.
Sihaiweka mimi. Wameiweka Buzwagi, Kabanga Nickel, North Mara Goldmine etc.
 
Tatizo wengi wa wanaotoa hoja humu mitandaoni sio active political citizens yaani raia walio hai katika siasa so at the end walio hai watafanya maamuzi wakati ninyi mtaendelea kusumbua keyboards na hao ndio watakao kuwa na haki ya kulalamika sio ninyi msio piga kura.
 
Wanakuona wenyewe, oooohhhh mi simo
UNAMAANISHA WOTE WATALIPWA TGS?

TRA
BOT
NSSF,PSPF,PPF,GEPF,LAPF,SSRA,
EWURA
TFDA
FCC
SUMATRA
TCRA
TPA
TCCL
TPB
MZUMBE
UDSM
LGTI
TPSC
UDOM
SUA
PPRA
TBC n.k

WOTE HAWA WATALIPWA KWA SCALE ZA TGS? KAMA HVYO NI SAWA TU.
 
Moja ya hadidu ya rejea waliyopewa bodi ya pili ya mishahara ni kuangalia hilo ulilolileta mdau.

Upande wa pili kuna watakaoshangilia kidogo kwani watumishi walio katika mazingira magumu kama wauguzi na waalimu wataangaliwa na kuonwa!
Hakuna kuonwa wala nn. Hapa waliopo juu wanashushwa chini ili wafanane. Na Watanzania walivyo na roho mbaya watafurahia sana. Ile story ya kuomba chongo ili jirani apate upofu sio ya uongo kwa Tanzania
 
Safari hii michadema itakimbia kuwatetea waalimu, wauguzi na askari na kuwatetea wala rushwa wa TRA na Tanroads
Acha upu.mba..vu wewe...mnashindwa kuwapiginia hao wanaopata kidogo wapandishwe juu mnashabikia wengine washushwe...mazuzu kama alivosema nyerere tu..
 
Ninekupa argument live. Hizo kesi mpaka mTRAT amani zilifika. Si kukopi na kupest kwa maana ya kutunga.
Kesi kufika mahakamani sio jambo la kushangaza mkuu, revenue appeals machineries (TRAB na TRAT +Court of appeals) zipo kwa ajili hiyo. Hata wewe kama hujaridhishwa na kiasi cha kodi uliyokadiriwa/unayotakiwa kulipa unaruhusiwa kabisa kukata rufaa.
 
Nchi ni yetu sote, Kwa HILI nipo pamoja na Rais Magufuli ninampongeza sanaa.Mfanyakazi wa bandari elimu Yake ni diploma tu ,lakini analipwa mshahara mzito kuliko Mwalimu mwenye Digrii, MISHAHARA IANGALIWE UPYA KILA MMOJA TULIPWE SAWA KWA SAWA ,HEKOOO RAIS MAGUFULI
Hii inaitwa roho mbaya, Omba mshahara wako upande na sio wa mtu mwingine ushuke.

Changamoto za mtu wa bandarini na kwenye hizo taasisi na mashirika ya umma hazifanani na walimu. Pili hizo taasisi zina wafanyakazi wachache na zinakusanya pia mapato.

Mliombea matajiri washushwe cheki sasa kila mtu analia mpaka wewe. Unapotaka kupanda usiombe mwenzako ashuke, jitahidi nawe kutafuta fursa za kuingia huko.
 
Kesi kufika mahakamani sio jambo la kushangaza mkuu, revenue appeals machineries (TRAB na TRAT +Court of appeals) zipo kwa ajili hiyo. Hata wewe kama hujaridhishwa na kiasi cha kodi uliyokadiriwa/unayotakiwa kulipa unaruhusiwa kabisa kukata rufaa.
Naona uneanza kukubali sasa. Ulidhani ni masihara zile argument. Na bado nafikiri pia unamtazamo kwamba ninachokisema ni theory. Hawa vihana walioajiriwa leo hawataweza kukusanya kodi hata laki moja.
 
Back
Top Bottom