Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa hapana mkuu hakuna kitu kizuri kama ku deal na sheria, ni vitu vichache sana havijawa covered na sheria za kodi naweza hata kuvitaja nikitulia. Hivyo nina imani vijana wapya wakiwa trained kwa mwaka mmoja au miezi6 wataweza kufanya kazi vizuri kabisa. Ni vizuri zaidi ukijua kodi gani inasimamiwa na sheria gani etc etcNaona uneanza kukubali sasa. Ulidhani ni masihara zile argument. Na bado nafikiri pia unamtazamo kwamba ninachokisema ni theory. Hawa vihana walioajiriwa leo hawataweza kukusanya kodi hata laki moja.
Kwani hao watumishi wa TRA unataka kusema hawajui kodi?Hahaa hapana mkuu hakuna kitu kizuri kama ku deal na sheria, ni vitu vichache sana havijawa covered na sheria za kodi naweza hata kuvitaja nikitulia. Hivyo nina imani vijana wapya wakiwa trained kwa mwaka mmoja au miezi6 wataweza kufanya kazi vizuri kabisa. Ni vizuri zaidi ukijua kodi gani inasimamiwa na sheria gani etc etc
Huwezi kufanikiwa kwa kumchukia tajiriNchi ni yetu sote, Kwa HILI nipo pamoja na Rais Magufuli ninampongeza sanaa.Mfanyakazi wa bandari elimu Yake ni diploma tu ,lakini analipwa mshahara mzito kuliko Mwalimu mwenye Digrii, MISHAHARA IANGALIWE UPYA KILA MMOJA TULIPWE SAWA KWA SAWA ,HEKOOO RAIS MAGUFULI
KWA HILI MAGUFULI HEKOO BABAAAA, IWE HIVYO, NCHI HII NI YETU YOTE HAIWEZEKANIKI MWALIMU ALIPWE LAKI NNE NA MTU WA PSPF ,BANDARINI WALIPWE MILIONI MOJA NA MAPOSHOPOSHO KIBAOO, Kwahili likifanyika nitamuunga mkono Rais Wangu Magufuli kabisaa,
hakuna sababu wa daktari wa serikali kulipwa tofauti wakati ni muajiriwa wa serikali hiyohiyoKama nilivyoandika uzi mwezi May 2017 "Msoto mwingine kwa watumishi waja" ndani yake nikaelezea kuwa watu wasitarajie ongezeko la mshahara mwezi Julai 2017 walionielewa walielewa.
Sasa nawaambia jambo lingine kuwa miezi si mingi kuanzia leo watumishi wa sekta fulani watatoa pesa za mshahara huku wanalia baada ya kulimwa pesa ili wafanane na wale wa serikali kuu.
Mi simo kwenye mjadala, nakaa pembeni.
Kujua au kutokujua kodi kwa watumishi wa TRA hakumzuii mlipa kodi ku appeal akiwa aggrieved na maamuzi ya CG, mlipa kodi anaweza kuwa anajua kabisa kwamba anatakiwa alipe (kwa mujibu wa sheria ya kodi) ila anaamua tu ku appeal (kuna sababu nyingi za ku appeal kwa upande wa tax payer na interest zake binafsi).Kwani hao watumishi wa TRA unataka kusema hawajui kodi?
Kwa hiyo hao vijana walioko mtaani watakuja kuleta mabadiliko yapi ikiwa kumbe vurugu za kodi hazijalishi kujua ama kutokujua?Kujua au kutokujua kodi kwa watumishi wa TRA hakumzuii mlipa kodi ku appeal akiwa aggrieved na maamuzi ya CG, mlipa kodi anaweza kuwa anajua kabisa kwamba anatakiwa alipe (kwa mujibu wa sheria ya kodi) ila anaamua tu ku appeal (kuna sababu nyingi za ku appeal kwa upande wa tax payer na interest zake binafsi).
Hili swali linahusu zaidi human resource management, argument ya kodi inajadiliwa kulingana na provisions za sheria za kodi, output ya wafanyakazi ni suala la afisa rasilimali watu (HRO) na sheria zinazohusu kada hiyo.Kwa hiyo hao vijana walioko mtaani watakuja kuleta mabadiliko yapi ikiwa kumbe vurugu za kodi hazijalishi kujua ama kutokujua?
Kwa hiyo kujua kodi ama kutokujua kodi haina maana?Hili swali linahusu zaidi human resource management, argument ya kodi inajadiliwa kulingana na provisions za sheria za kodi, output ya wafanyakazi ni suala la afisa rasilimali watu (HRO) na sheria zinazohusu kada hiyo.
Kwangu ina maana sana, sijui kwako na kwa yule mwingine.Kwa hiyo kujua kodi ama kutokujua kodi haina maana?
Hili swali linahusu zaidi human resource management, argument ya kodi inajadiliwa kulingana na provisions za sheria za kodi, output ya wafanyakazi ni suala la afisa rasilimali watu (HRO) na sheria zinazohusu kada hiyo.
Safi sanaaaaaaa! Wote tuishi kishetani siyo wengine kama malaika wakijitajirisha na fedha za Umma. Magufuli Oyeeeeeeeh long life our President.Kama nilivyoandika uzi mwezi May 2017 "Msoto mwingine kwa watumishi waja" ndani yake nikaelezea kuwa watu wasitarajie ongezeko la mshahara mwezi Julai 2017 walionielewa walielewa.
Sasa nawaambia jambo lingine kuwa miezi si mingi kuanzia leo watumishi wa sekta fulani watatoa pesa za mshahara huku wanalia baada ya kulimwa pesa ili wafanane na wale wa serikali kuu.
Mi simo kwenye mjadala, nakaa pembeni.
Tulia ndugu kama utapunguziwa ukaona hautoshi wewe ondoka tu wapo vijana wengi tu wenye uwezo wao wa kukusanya hiyo kodi, hakuna aliyezaliwa kama mkusanya kodi mbona unaweweseka? Kwanza hii ni tetesi tu lakini umeumia kweli, mbona wengine wanaishi tu kwa hiyo mishahara ya TGS wakati hata chuo mlipita kimoja na course moja na wengine hata ufaulu wanawazidi? Ni vile tu wako serikali kuu basi wanapata kiduchuKwa hiyo kujua kodi ama kutokujua kodi haina maana?
Wala posho pia za kawaida, tatizo ni rushwa. Ni kama traffic tu, anaweza akatengeza mshahara wa pili kwa kula rushwa, kwa jicho la nje unaweza ukadhani mshahara mkubwa kumbe ni rushwa tu.Huko kutakuwa Na posho nene
Watafarijika na nini? Hivi hizi roho za korosho huwa munazipata wapi?Kuongeza kwa watu wa chini walingane au kuwa karibu wa juu ni ngumu sana. Serikali haina uwezo huo kwa sababu ni gharama kubwa sana, option nzuri kwa Serikali (chungu kwa waguswa) ni kuwapunguzia wenye nyingi ili walingane na wenye kidogo au wakaribiane au wakutane kwenye level fulani bila kuathiri bajeti ya Serikali
Na wakifanya hivi wachache watalia wengi watafarijika
Acha uongo kukusanya kodi nako kuna hitaji umasters tenaKodi siyo hivyo mnavyofikiri kwamba kuna vijana wengi wako mtaani. Wakiajiriwa itawachukua miaka kumi kuweza ku master kazi ya kukusanya kodi. Sasa katika kipindi hiki cha mpito unategemea nini?