China wanabadili game kwenye vita ya kiuchumi,wanazima Umeme viwandani,wanasema kila Kiwanda kiwashe mitambo mara moja kwa wiki,maana bidhaa zinazotengenezwa zinanunuliwa kwa dollar,China wanataka bidhaa zao zinunuliwe kwa hela ya China,Chinese Yuan Renminbi, haiwezekani bidhaa atengeneze yeye China halafu bei apange Marekani