Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
[emoji23][emoji23]Waambie wakitaka wakae naye sebuleni kabisa. Hakuna shida.
Hawana akili haoDenis Kasia a.k.a Lokasa ya Mbongo, mpiga gitaa la maarufu nchini DRC asie na mpinzani, leo ni miezi mitano tangu amefariki na bado hajazikwa. Inasemekana kuna mgogoro azikwe wapi.
View attachment 2765892R.I.P mchawi wa gitaa la Rhythm.
KaahMazishi ya Kongo kuanzia makaburi Yao ni kama nyumba.
Alafu usikute maiti Kila siku inabadilishwa pamba za kufa mtu
HahaaaaaWaambie wakitaka wakae naye sebuleni kabisa. Hakuna shida.
Denis Kasia a.k.a Lokasa ya Mbongo, mpiga gitaa la maarufu nchini DRC asie na mpinzani, leo ni miezi mitano tangu amefariki na bado hajazikwa. Inasemekana kuna mgogoro azikwe wapi.
View attachment 2765892R.I.P mchawi wa gitaa la Rhythm.
[/Quot]
Wacha wafu wazike wafu wenzao.