Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

naomba kupata utaratibu wa kupata hii home internet maana awali niliambiwa nilipie miezi miwili tu installation ni free kwa upande wa voda, lakini ghafla naambiwa tangu february mambo yamebadilika kuwa ni lazima ninunue router na nilipie installation fee. Gharama zimefika zaid ya 600k na baget yangu ilikua chini mno...
naitaji router ya kuunga chini ya device 5 tu, na nilitaka kile kifurushi cha 115k kwa mwezi... mwenye kuweza kunielewesha hapo tafadhali
 
Mkuu tz hatuna 4G wala 5G bado tuna LTE 4G lite wanaita.
5G ni Gb1/s , 4G ni 100mb/s.
Ku-install hiyo minara ya 5G ni ghali sana.
Ndio maana mitamdao yote inatumia mkongo wa TTCl ambao wana-device za 3G tu.
Uko nyuma sana.
Mbona tiGO wameianzisha?
 
Uko nyuma sana.
Mbona tiGO wameianzisha?
Hiyo ni marketing, ushaona sehemu kuna mnala wa 5G hii!?
Telecommunications na ICT ni field ninayo ijua kidogo tz.
Tafta simu ya Iphone uone kama itasoma 5G au 4G lite(ambayo ni 3G version 3.7)
Hata 4G bado hatujafika
 
Hiyo ni marketing, ushaona sehemu kuna mnala wa 5G hii!?
Telecommunications na ICT ni field ninayo ijua kidogo tz.
Tafta simu ya Iphone uone kama itasoma 5G au 4G lite(ambayo ni 3G version 3.7)
Hata 4G bado hatujafika
5g huhitaji ku upgrade mnara unless unaenda mmwave, na 4g ipo ya kutosha kila mtandao.

Tatizo lako unashindwa tofautisha capacity ya network na actual speed unayopata.

4G zote zinaizidi hio 100mbps na 4G+ (lte Advance) zipo pia nyingi tu zinazidi 300mbps. Sema speed ni shared ndo maana huipati speed yote mwenyewe
 

Kwa maelezo yako hii ni 4G marketed as 5G .
 
Hiyo ni marketing, ushaona sehemu kuna mnala wa 5G hii!?
Telecommunications na ICT ni field ninayo ijua kidogo tz.
Tafta simu ya Iphone uone kama itasoma 5G au 4G lite(ambayo ni 3G version 3.7)
Hata 4G bado hatujafika
Kwani Mnara wa 5G ukoje?

Uko nyuma sana
 
Mkuu mm nakuzidi nina ttcl 100mbs ambayo ni 4g
 
Subiri vifaa vipungue bei wanunue ndio wafunge rasmi.wanacho kufanyia ni kuchange jina kwenye mtambo unapoona 5g kumbe 4g.
Vifaa vya 5g vijaanza kusambazwa mitambo yake
 
IPhone ya China hiyo

Kwa kuwa Foxconn wana kiwanda special San Francisco au Texas wanapotengeneza iPhone maalum kwa ajili ya soko la Marekani?

Anyway model number yake hii hapo kwenye screenshot



Hiyo M inaashiria kuwa iPhone yangu nimenunua brand new kutoka Apple na warranty intact What does M, N, F, or P mean in iPhone mo… - Apple Community


Hiyo LL mwishoni mwa model number inaashiria kuwa iPhone hii ilitengenezwa mahususi kwa ajili ya soko la Marekani(ambalo naamini umedanganywa kuwa iPhone bora zina serial number hii) iPhone model number country code - Apple Community

Una ubishi mwingine?

View attachment 2515375
 
Nina Vodacom 5G nalipia speed ya 30mbps kwa 120,000.
Kwa kweli hiyo speed inafikiwa sitegemei izidi hapo kwa sababu wamelimit iishie hapo. Nastream Netflix 4K safi kabisa. Kwa siku natumia kati ya 30GB mpaka 50GB Kwa mwezi ni kama 1+TB.
Uzuri ni kwamba kifaa unaweza kutembea nacho popote unapoenda kikubwa uwepo umeme. Kama hupendi kutumia kifaa ukiwa unaondoka nyumbani unaweza kuchomoa line na kuweka kwenye simu inapiga kazi vizuri tu.
 
Mkuu IPhone ya china hiyo kwà ajili ya standard zetu za tbs ila kwao hizo hawatumii.
Internet service provider Tanzania ni TTCL ndie anae wagawia wote huyo hana 4G ana 3.75G(4G lite).
Speed ya 4G ni 100mbps download speed tester kama hiyo inafikiwa
 
This is great.
 

unapigwa ela apo nimeunga juz tu installation fee 230k ndan ya wiki tu wanenipa device yang napepea now unlimited
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…