Shemasi mkuu
Member
- May 16, 2021
- 57
- 128
ndugu yangu nilisubir hili jibu lakin nilichelewa mno.. sasa hiv nilipata kampuni flan wakanifanyia installation yao kwa 250k.....unapigwa ela apo nimeunga juz tu installation fee 230k ndan ya wiki tu wanenipa device yang napepea now unlimited
Ukiingia fast.com unapata speed gani?ndugu yangu nilisubir hili jibu lakin nilichelewa mno.. sasa hiv nilipata kampuni flan wakanifanyia installation yao kwa 250k.....
tatizo naona speed ya kudownload ni ndogo...
nikishusha movie yenye 5gb inachukua siku nzima kumaliza
baadae nikiingia ofisin nitachek...maana kuna app nilikua narumia kuchek speed inanipaUkiingia fast.com unapata speed gani?
Mbona speed nzuri tu, halafu kama TTCL Adsl hivi,baadae nikiingia ofisin nitachek...maana kuna app nilikua narumia kuchek speed inanipa
downloading speed 8mbps
uploading speed 1.8-2.4mbps
ping inafika 30 something
Mambo vipi mkuu,nje ya mada kidogoMbona speed nzuri tu, halafu kama TTCL Adsl hivi,
8mps inatosha kushusha movie dakika Chache angalia tu source zako unazodownload
Storage inaathiri perfomance ila mpaka uangalie tech husika ndani, size tupu sio kigezo.Mambo vipi mkuu,nje ya mada kidogo
Hivi storage ya simu inaweza athiri perfomance ya simu? Mfano simu A ina 64GB na simu B ina 128GB ila zote zinafanana kila kitu,inawezekana simu B ikawa na perfomance kubwa kushinda A?
Natanguliza shukrani
Shukrani sana mkuu,nimekupataStorage inaathiri perfomance ila mpaka uangalie tech husika ndani, size tupu sio kigezo.
Mfano
Technilogy ya ufs 4.0 inaanzia 256GB tu, ndio storage yenye speed kushinda zote kwenye simu, hivyo ukichukua Simu ya kisasa yenye 128GB ina maana hutapata speed kubwa.
Vice versa pia inaweza kuwa kweli, kama hio 64GB ni Ufs 2 na hio 128GB ni Emmc basi hio 64GB itaifanya simu yako iwe faster kuliko hio 128GB.
Kwa simu zetu za bei rahisi hakikisha ina ufs yoyote, 2, 2.1, 3 etc kama unanunua simu za mamilioni hakikisha ina ufs 4. Emmc ndio ya kuepuka hasa kama simu inafika laki 4.
kwa maana hiyo chief... ni halali ku download movie yenye 7gb siku nzima?Mbona speed nzuri tu, halafu kama TTCL Adsl hivi,
8mps inatosha kushusha movie dakika Chache angalia tu source zako unazodownload
Kujua Exactly speed ya Internet yako download video youtube, torrent isio na seeder inakuwa slow.kwa maana hiyo chief... ni halali ku download movie yenye 7gb siku nzima?
maana natumia torrent hiz za kawaida tu... galaxy torrent nk..
movie ya 700mb inachukua kama nusu saa hivi na ni 720p kwa 1080p
Nilikia nadhani labda speed ni ndogo sana, nikawa natafuta namna ya kupata huduma kutoka kampuni nyingine, bado sijapata uhakika kutoka kwa watu wanaotumia supakasi ya voda kuwa wao hua wana experience muda gan kwenye kudownload movie zenye 8gb,yaan inachukua muda gan kuwa amemaliza hasa wanaotumia speed ya 20mbps
Nyie jamaa mnapenda sana kulalamika, Hakuna sehemu yoyote duniani ambayo 3g ama 4g inazidi 5G yoyote.speed ya 5g ya Tanzania inazidiwa mbali sana na speed ya 3g ya India.
According to feedback za wadau huko juu Fastmile (5G) inahamishika, unaweza ku move nayo, sijajua zile za 4G maana nilisikia wanatumia MIcrowave hivyo zinahitaji Antenna.Hivi hawana MiFi za unlimited data plan maana changamoto mara nyingi huwa mobility, sio kila muda utakuwepo nyumbani. Kuna muda unakuwa na safari za kikazi.
Sawa sawa mkuuAccording to feedback za wadau huko juu Fastmile (5G) inahamishika, unaweza ku move nayo, sijajua zile za 4G maana nilisikia wanatumia MIcrowave hivyo zinahitaji Antenna.
Siku zote network strength ya mitandao ya simu inategemea uko karibu vipi na ule mnara wa mawimbi (of course na vizuizi pia). Ukiwa karibu na mnara utapata network nzuri sana sana na utashangaa wengine wanavyolalamika. Ukiwa mbali na mnara basi utakuwa unalalamika sana na hasa kukiwa na vizuizi tena ndiyo kabisa...mdhalendo
Mimi natumia hii huduma na so far naona ipo vizuri. Ninakaribia miezi miwili na mtandao ulisumbua kama mara mbili, ila badda ya mda mfupi tatizo liliisha.
Kuna vitu inabidi ufanye, kwenye hiyo Fast Mile router kuna taa pale juu zipo tatu, kama haziwaki nenda kwenye settings na uziwashe, halafu jaribu kuiweka hiyo router sehemu iliyo wazi, wanashauri sana kuiweka karibu na dirisha ili upate signals vizuri.
Pia unaweza ukawa unaizungusha hiyo router, na kucheki taa zinavyowaka, taa ikiwa moja signal ni hafifu, taa mbili signal ni ya wastani, na taa tatu signal zipo vizuri. Mda huo pia angalia nembo ya 5G iwe imewaka. Isipowaka 5G jua unapata 4G.
KIngine nilichogundua kwenye hii router ni kuwa unaweza ukarusha wireless ya 5G na 4G, so devices kadhaa zikaunga 5G nyingine 4G. Jaribu kuhakikisha hiyo pia, unaweza kuta una connect kwenye 4G tu.
Kupata speed nzuri inategemea na package uliyochukua, package ya 30Mbps, ambayo itakupa hadi 4 MBps / sec kwenye kudownload, ambayo kwa famiilia ya watu wachache (chini ya watu 5) ni nzuri.
Mimi natuma na familia, na nilijaribu kustream 1444p kwa devices 4 bila shida yeyote.
4K ilikuwa inasumbua kidogo, ila nilipopunguza devices pia ikawa vizuri.
So, cha msingi ni angalia 5G signals za sehemu yako, jitahidi router uiweke sehemu nzuri.
Nakubaliana na ww. Tz hakuna hiyo minara. Ila tunaibiwa halafu wana watu wana dai 120,000 ni cheap package eti mtoa mada alipe 600,000. JF kila mtu eti ana hela, yupo safi!!! Hivi Watanzania mna uza madawa au? Tshs 600,000 personal internet bill? Bado Gesi, maji, umeme, gari, au mnaiba wapi nyie hela?Mkuu tz hatuna 4G wala 5G bado tuna LTE 4G lite wanaita.
5G ni Gb1/s , 4G ni 100mb/s.
Ku-install hiyo minara ya 5G ni ghali sana.
Ndio maana mitamdao yote inatumia mkongo wa TTCl ambao wana-device za 3G tu.
ndugu yangu nilisubir hili jibu lakin nilichelewa mno.. sasa hiv nilipata kampuni flan wakanifanyia installation yao kwa 250k.....
tatizo naona speed ya kudownload ni ndogo...
nikishusha movie yenye 5gb inachukua siku nzima kumaliza
Download speed kwenye maswala ya Torrent inategemea na idadi ya Seeders.. kama hamna seeders au seeders ni wachache speed inakuwa ndogokwa maana hiyo chief... ni halali ku download movie yenye 7gb siku nzima?
maana natumia torrent hiz za kawaida tu... galaxy torrent nk..
movie ya 700mb inachukua kama nusu saa hivi na ni 720p kwa 1080p
Nilikia nadhani labda speed ni ndogo sana, nikawa natafuta namna ya kupata huduma kutoka kampuni nyingine, bado sijapata uhakika kutoka kwa watu wanaotumia supakasi ya voda kuwa wao hua wana experience muda gan kwenye kudownload movie zenye 8gb,yaan inachukua muda gan kuwa amemaliza hasa wanaotumia speed ya 20mbps
Vp kuhusu gaming?mdhalendo