Miezi mitatu ya makadilio faida hakuna

Miezi mitatu ya makadilio faida hakuna

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
1,767
Reaction score
2,855
Wanabodi wik iliyopita kuna jamaa yangu katika Biashara yake Toma January ana hasara ..mpaka mda huu amechanganyikiwa aende tra kwa makadkilio au afunge Biashara... Je kwa wataalam WA tax... Huyu afanye nini katika Hali hii.. Hali.... Ushauri tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afunge biashara afungue nyingine.Tra awawez fanya makadirio mara 2.
 
Back
Top Bottom