Miezi miwili baada ya ndoa miss Tanzania afumaniwa, ala kichapo kizito


Mchungaji kashindwa kuizuia hasira,
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani,
wangeyamaliza kimya kimya tu.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
ila wanawake wanawake Mungu ana waona, matatizo yoote ndani ya ndoa huanzishwa na wanawake, ebu fikiria jamaa atakapo toka selo atakuwa anamwaliaje huyo miss Tanzania? kama si jamaaa kuwa mlevi au teja lilipindukia na baada ya hapo huyo miss anakuwa akikesha kwa wachungaji eti kumuombea mumewee arudi kwenye mstari.........
 
Mkifumaniana wala hakuna haja ya kupigana.

Chukueni hamsini zenu halafu msirudie tena kuingia kwenye ndoa maana tayari mshathibitisha kuwa ndoa ni magumashi.

Kuweni single na mfurahie maisha kama ayafurahiavyo Mtakatifu Ngabu.

Ungekutana na mimi husingeandika maneno haya kabisaaa. Machale yangu tangu niwe humu JF huwa yananiambia mimi na wewe tunajuana uraiani. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…