Jackline Bahath
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 681
- 627
mmm
ndoa hizi jmn
ndoa hizi jmn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
madona ikoje?Ndio Maana alipigiwa mbinja za kuitwa mwizi " kwa sababu mwanamke Anajua kuwa hana kitu "..... pia hii statement yako ndio imenipa mwanga sasa na kunifanya nipate jawabu la yeye kumpeleka mkewe hospital ya madona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamalize kimya kimya kwa style gan , maana hapo vyombo vya habar ndo vimewafata na sio waoKuchapiwa ni siri ya ndani,
wangeyamaliza kimya kimya tu.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Angalao unamheshimu mama Gaude. Humu kila uzi ni michepuko. Sasa huwa wanachepuka na nani kama siyo wake za watu.Jamaa ni mbwisi tu, mi nikimfumania Mama Gaude nafanya sherehe, maana ndio wakati murua wa kufungulia mbwa.
Duh ndoa sio mchezo😂😂😂😂😂uhuru kama wote😂😂😂mandelaaaaa!
ila usitake kufumania kumbe bado wampenda
Kumbe ndio wale wale aisee, hana maana kabisa!Huyu Ngassa ninamfahamu, najifanyaga mara pasta na mwimbaji, mcheki fb na youtube, alioa kama miaka 3 iliyopita akamwacha mke wake binti mdogo sana kwa dharau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio wale wale aisee, hana maana kabisa!Huyu Ngassa ninamfahamu, najifanyaga mara pasta na mwimbaji, mcheki fb na youtube, alioa kama miaka 3 iliyopita akamwacha mke wake binti mdogo sana kwa dharau.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata kama 10×10 ni 100 (upo vizuri)Oa kwa ufahari mkubwa ila kama 6x6 ni 0 lazima usaidiwe tu,Wanawake wasikie hivyohivyo
Labda mchungaji wa ng'ombeHaha eti mwizi dahh " ...
Duhh kumbe " mume ni mchungaji !!? Sasa ilikuwaje mpaka akajichanganya kwa hawa madada wa mjini " .... jinga sana hilo jamaa "
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurah kusikia hivi...trust u gud sana leo kama janaMimi namshukuru, Mungu
sihaba ananipigania bas nikutakie
usiku mwema..!