Miezi miwili baada ya ndoa miss Tanzania afumaniwa, ala kichapo kizito

Ndio Maana alipigiwa mbinja za kuitwa mwizi " kwa sababu mwanamke Anajua kuwa hana kitu "..... pia hii statement yako ndio imenipa mwanga sasa na kunifanya nipate jawabu la yeye kumpeleka mkewe hospital ya madona

Sent using Jamii Forums mobile app
madona ikoje?
huyu ni kijana limbukeni ukikaa naye dakika kumi hutamani kuendelea kumsikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani,
wangeyamaliza kimya kimya tu.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Wamalize kimya kimya kwa style gan , maana hapo vyombo vya habar ndo vimewafata na sio wao

From profile picture to proper future
 
Jamaa ni mbwisi tu, mi nikimfumania Mama Gaude nafanya sherehe, maana ndio wakati murua wa kufungulia mbwa.
Angalao unamheshimu mama Gaude. Humu kila uzi ni michepuko. Sasa huwa wanachepuka na nani kama siyo wake za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…