Nkashilingi
Member
- Jul 21, 2009
- 8
- 0
My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda mteremko kama hatu wa ulaya, mimi nilikuwa na wangu 7year can u imagine???!!!! Naapa kwa jina la mwenzi mungu hamuezi kuamini lakini ndo hivyo, alianza wazimu kama wa huyo wa marekani mmmh baadae nikasoma alama za nyakati, nikamu-email mwenyewe its over, na baada nikajua ukweli kuwa alikuwa na mtu huko na ndoa tayari, na me namshukuru mungu nina mchumba now na harusi ni feb. 2010