Miezi miwili bila mawasiliano ameachwa?naomba ushauri

My dear, hii kitu imenikuna coz am speeking from my experience, huyo jamaa aachane nae haraka sana, yani akimbie mbio ni ngumu but inambidi isee acha kabisa hawa wabeba mabox ni soo, achilia mbali kuoa vizee pia inawezekana kampata mbongo mwenzie mwenye green card, we nakwambi hakuna wapenda mteremko kama hatu wa ulaya, mimi nilikuwa na wangu 7year can u imagine???!!!! Naapa kwa jina la mwenzi mungu hamuezi kuamini lakini ndo hivyo, alianza wazimu kama wa huyo wa marekani mmmh baadae nikasoma alama za nyakati, nikamu-email mwenyewe its over, na baada nikajua ukweli kuwa alikuwa na mtu huko na ndoa tayari, na me namshukuru mungu nina mchumba now na harusi ni feb. 2010
 

Mambo makubwa haya!!!,mwenyewe kapatikana!!!!,waliokuwa wameanza kutupa kamba ndogondogo bahati mbaya kwao!!
 

Kwani communication yao ni 1 way traffic? Kwani jamaa hujo USA hatakiwi kupiga simu huku Tz kwa mpenzi wake?
Read between lines. The guy is gone. Anza maisha yako dadangu.
They say success is belt on broken friends. Fimbo ya mbali hiyo.Achana nae.
 


Mmmmh! Geoff uko wapi? Najaribu kusoma alama za nyakati hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…