A
Anonymous
Guest
Habari ni takribani mwezi mmoja na nusu inakaribia miezi miwili ambapo kiongozi wa nchi alizindua Mwendokasi kutoka Mbagala hadi Morocco, lakini hadi leo hamna safari ya Mbagala hadi Morocco.
Siku za nyuma kulikuwa kuna route ya Kimara -Morocco, Kivukoni - Morocco na gerezani - Morocco zote hizi hazifanyi kazi, je changamoto ni nini? Wakati Rais alishazindua tena nakumbuka siku ya uzinduzi alikuwepo Rais wa Uganda.
Naomba mtupazie Sauti sisi tunokaa au kufanya kazi maeneo ya Morocco hadi kinondoni.