HOJA Miezi miwili tangu uzinduzi wa ruti ya Mwendokasi Mbagala - Morocco, ukimya umetawala, kulikoni?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest

Your browser is not able to display this video.

Habari ni takribani mwezi mmoja na nusu inakaribia miezi miwili ambapo kiongozi wa nchi alizindua Mwendokasi kutoka Mbagala hadi Morocco, lakini hadi leo hamna safari ya Mbagala hadi Morocco.

Siku za nyuma kulikuwa kuna route ya Kimara -Morocco, Kivukoni - Morocco na gerezani - Morocco zote hizi hazifanyi kazi, je changamoto ni nini? Wakati Rais alishazindua tena nakumbuka siku ya uzinduzi alikuwepo Rais wa Uganda.

Naomba mtupazie Sauti sisi tunokaa au kufanya kazi maeneo ya Morocco hadi kinondoni.
​
 
mbagala - morocco waendeshaji wa ruti hiyo ni tofauti na wa kivukoni/kimara - morocco

mbagala - morocco, mpka sasa basi zinaishia ilala boma, kutoka boma kwenda morocco bado hakujakamilika

nyongeza ruti ya gongo la mboto nayo bado hakuna raarifa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…