Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

Hata hujui umeandika nini yaani 1.5B ni sawa tu Na million elfu moja Na Mia tano tu! Inaonekana Shule kwako ilikuwa shidah ndo mana JPM akasema elimu bure kwa watu aina yako
Jizi lile sema maccm huwa yanalindana.
 
Hapana aisee huyu jamaa siyo kwa sitaili hiyo aliyokuwa nayo chinja chinja huyo
 
Kufa umfuate dikteta/ Samia ni Rais bora kwa Africa,wafanyakazi wamepanda madaraja, askari pia wamepanda vyeo ambavyo walistahili muda kupandishwa
Hata jogoo huwa kiongozi bora kwa kuku wenzeke. Hakuna upuuzi wenye upuuzi mtupu. Hili bibi zigo la mavi lakini kwa nyie ni mbolea
 
Hata hujui umeandika nini yaani 1.5B ni sawa tu Na million elfu moja Na Mia tano tu! Inaonekana Shule kwako ilikuwa shidah ndo mana JPM akasema elimu bure kwa watu aina yako
hahahahahaha
 
Katiba mpya ndio suluhu ya mwisho na ya uhakika.
 
Katika dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia Nchi inayoendeshwa kwa maono ya mtu mmoja kamwe haiwezi kufanikiwa- itachemsha. Mtu mmoja hawezi kujua kila kitu, ndio maana kuna wataalamu katika kila fani .

Vyombo vya habari vikiwa huru kuchambua na kuripoti kila kitu kwa uwazi hapo ufisadi na wizi wa pesa za umma utakomeshwa na maendeleo ya kweli yataonekana.

Vyombo vya habari ni muhimu sana katika kufichua madhambi ya viongozi. Visipokuwa huru - si rahisi kuziamini takwimu zinazotolewa na watendaji wenyewe, lazima kuwe na jicho la pili.
 
Ben Saa Nane sijui Azory na hizo takataka zingine zimejenga hospital vijijini watu wakapata huduma bora za afya? Au SGR watu wengi hususan maskini wakapata usafiri wa uhakika? Kama hapana basi wafufuliwe alafu wauwawe tena! Ajenda za kijinga kabisa hizi zinakuzwa na wasio na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…