Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

Nadhani JP Magufuli angestahili kuwepo hapo namba moja... ni vile tu alichelewa kuzaliwa!
 
Umechambua vizuri Sana,bila kusahau hakuna rais aliyeteua na kuwaamini wasomi Kama Jiwe.

Alipunguza mshahara wako upate kuwasaidia watu wanyonge.

Mtemi Hangaya kamaliza ubishi wote kasema wazi viatu vya JPM vinapwaya maana alikuwa kiongozi shupavu.
UN nao wakatusaidia kwa kumuenzi kwa Mambo aliyolitendea taifa lake.
 
Hakuna kitu kibaya na laana mbaya Kama kumwaga ya damu binadamu mwenzako. Italia siku zote kwenye ardhi Kila utakapo kanyaga.. Hata wanyama tunapaswa kuwachinja kwa heshima.

Waliopigania uhuru damu zao unazilipa wewe?!
 
Mleta mada tukikukamata!!! Heee ndo utajua hujui...
Itakuwa kimya kimya tu...tunamalizana.
 

MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA - "FENESI, MBUZI NAO WANA CORONA"​


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…