Mifano inayoweza kuleta maana pale unapo linganisha dunia na ulimwengu

nodetz

Senior Member
Joined
May 4, 2024
Posts
173
Reaction score
156
Mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu.

Tuseme umebeba mzigo ambao unauzito wa ulimwengu wote halafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kwenye mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama umeidondosha dunia.

Em nipe na wewe mfano wako unaoweza kuilinganisha dunia na ulimwengu.
 
Mzigo gani una uzito wa ulimwengu tuanziaa apo kwanzaa
mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu.

Tuseme umebeba mzigo amabao unauzito wa ulimwengu wote alafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kweny mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama umeidondosha dunia.

Em nipe na wewe mfano wako unaoweza kuilinganisha dunia na ulimwengu.
 
mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu.

Tuseme umebeba mzigo amabao unauzito wa ulimwengu wote alafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kweny mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama umeidondosha dunia.

Em nipe na wewe mfano wako unaoweza kuilinganisha dunia na ulimwengu.
Maana yako ulimwengu ni kama meli iliyobeba labda contena 200 ikalidondosha contena 1.
 
Back
Top Bottom