mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu.
Tuseme umebeba mzigo amabao unauzito wa ulimwengu wote alafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kweny mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama umeidondosha dunia.
Em nipe na wewe mfano wako unaoweza kuilinganisha dunia na ulimwengu.