Mifugo yavamia shamba la utafiti la Tari Ilonga na kusababisha uharibifu na hasara ya millioni 600

Mifugo yavamia shamba la utafiti la Tari Ilonga na kusababisha uharibifu na hasara ya millioni 600

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..Tari ni taasisi ya utafiti mbegu hapa Tanzania.

..shamba lao wanalofanyia utafiti wa mbegu limevamiwa na mifugo na kuharibiwa.

..watumishi wa Tari walipojaribu kuwadhibiti wafugaji na mifugo yao, waliishia kushambuliwa, na wafugaji wakatoroka na baadhi ya mifugo hiyo.

..serikali ni kama imezidiwa, au kukata tamaa, kushughulikia suala hili.

..sikiliza video hapa chini kujua kilichotokea.

Dawa ni kuwawekea Sumu kwenye majani yao huko malishoni.. Easy

..kwa kweli ni changamoto sana.

..wafugaji wameharibu kitalu cha utafiti unaoshirikisha Tanzania, na nchi za nje.

..wakati mwingine unachukia unafikiria uiadhibu mifugo, au umuadhibu mchungaji.
 
..kwa kweli ni changamoto sana.

..wafugaji wameharibu kitalu cha utafiti unaoshirikisha Tanzania, na nchi za nje.

..wakati mwingine unachukia unafikiria uiadhibu mifugo, au umuadhibu mchungaji.
Mie huu ujinga siwez vumilia yaan ningelipa kisasi, hapo unamwazibu MFUGAJI kupitia Mifugo.

1- kutia Sumu ktk Majani yanayozunguka eneo la Utafiti.. (DEADLY POISON)

2- kuweka Mitego ya kuwindia Wanyama (Akijichanganya Mfugaji kukanyaga na yeye anaenda na Maji)

3- Kujitaifishia Mifugo

Note: Kuweka Alama za Tahadhari muhimu. Pia unaweka kabisa na Nia yako kwa atakayeingia ktk 18 zako.

Kuna muda si kila kitu kuiachia Serikali au Kumwachia Mungu. Unadeal nao kimafia mafia
 
..kwa kweli ni changamoto sana.

..wafugaji wameharibu kitalu cha utafiti unaoshirikisha Tanzania, na nchi za nje.

..wakati mwingine unachukia unafikiria uiadhibu mifugo, au umuadhibu mchungaji.
Ni bora kuishi na tembo kuliko kuishi na masai
 
Nini kifanyike hili suala la wafugaji wanoohamahama na kulisha mazao? Maana ufugaji wa namna hiyo ndiyo unatuletea nyama ya bei chee.
 
Mkuu umesema hasara ya million 6 au million 600?!
 
Mkuu umesema hasara ya million 6 au million 600?!

..millioni 600.

..wasikilize wataalamu wa taasisi ya Tari waliozungumza ktk video.

..hata mimi nilishangaa lakini nilielewa baada ya kuwasikiliza wahusika wa Tari.
 
Ni michezo yao unasukwa kitalaamu katika harakati zao za kuilamba hiyo 600M.
 
Back
Top Bottom