Dawa ni kuwawekea Sumu kwenye majani yao huko malishoni.. Easy
Mie huu ujinga siwez vumilia yaan ningelipa kisasi, hapo unamwazibu MFUGAJI kupitia Mifugo...kwa kweli ni changamoto sana.
..wafugaji wameharibu kitalu cha utafiti unaoshirikisha Tanzania, na nchi za nje.
..wakati mwingine unachukia unafikiria uiadhibu mifugo, au umuadhibu mchungaji.
Ni bora kuishi na tembo kuliko kuishi na masai..kwa kweli ni changamoto sana.
..wafugaji wameharibu kitalu cha utafiti unaoshirikisha Tanzania, na nchi za nje.
..wakati mwingine unachukia unafikiria uiadhibu mifugo, au umuadhibu mchungaji.
Mkuu umesema hasara ya million 6 au million 600?!