martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
Mifuko ya nylons (meupe) iliyokuwa mtetezi mkubwa wa watu, sasa imepigwa marufuku rasmi kutumika kwa madai ya uchafuzi wa mazingira
Hii inatengeneza wigo mpana wa biashara za mifuko mbadala haswa mifuko ya bahasha. Mifuko hii inaweza kuwa mbadala mkubwa wa mifuko ya nylon kwa kuwa ni rahisi kigharama na pia kuwa na uwezo wa kutumika kwa matumizi mengi.
Hivyo wajasiriamali wenzangu tunaweza changamkia fursa hii ya utengenezaji na uuzaji wa mifuko ya bahasha na kutengeneza pesa.
Binafsi naomba mwenye ujuzi, uzoefu wa biashara hii au ufundi wa bahasha hizi anicheki tuyajenge tafadhari
Asanteni