Mwalimu kastaafu mwaka 2015, lakini mpaka leo, hajalipwa mafao yake, anazungushwa tu. Na sio yeye peke yake, ana wenzake pia wengi tu. Kuna siku moja nlikuwa napga stor na diwan mmoja mtaan kwetu, nikamwambia hii miradi inayotengenezwa na serikali inatoa mwanga kwa maisha ya mbeleni.
Akanambia, ni kweli, lkn kuna kundi moja serikal hii imelisahau kidogo kuliwekea mikakati endelevu. Kundi la wazee ambao wanahtaji emergency fix ya maisha yao. Akatoa mfano, Luna wazee hawana kila kitu, kila siku wanamfata ili wapewe chakula.
Baada ya kuambiwa hayo na diwan huyo ndpo nlipomkumbuka hyu mwalim msitaafu anavyohangaika kufatilia mafao yake bila mafanikio mpaka sasa anaona ni kero kuishi. Serikali iwaangalie wastaafu hao waliostaafu mwaka 2015 wilaya ya Meatu lakini zaid iendelee kuwatunza wazee na kuwa na mikakati endelevu ya kuwasaidia hawa wazee wetu, kama vile kuwa na vituo vya kuwalea wanapofkia uzee kabla Mungu hajawaita.
Elimu yangu ni darasa la saba. Kuna watu walkuwa wanaulzia elimu yangu nafkri mpka hapo tumeelewana