Mifuko ya hifadhi za jamii inakokotoaje mafao ya wanachama?

Mifuko ya hifadhi za jamii inakokotoaje mafao ya wanachama?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Sielewi kanuni inayotumika katika kukokotoa mafao yetu wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii, kama kuna watu humu hebu wanijuze, wako wanaosema wanatumia mshahara wako wa mwisho kukokotoa, wako wanaosema wanatumia mshahara wako uliowahikuwa mkubwa kupita yote, kipi ni kipi na wanatafutaje hicho unachotakiwa kulipwa kwa mwanachama?
 
Back
Top Bottom