Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Chakutamausha zaidi ni kwamba baada ya Kenya kuharamisha shughuli zote za kukata na kuvuna miti sasa hivi pale Namanga boda trela zinazoingia na mbao kutoka Tz hazihesabiki. Kampeni za kuwahamasisha wajenzi Kenya kuhusu mbinu na material mbadala za kujenga hazifikii malengo yake kwasababu ya mbao kutoka Tz. Waafrika kwa ubinafsi wetu huwa tunawaza mifuko yetu tu, mazingira tupilia kuleee.Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Jibu swali. Siyo unaanza mipasho miingi. Wewe ni kiume ati.
Hahahaha utasikia serikali inakulupuka wabongo hatujui hata kipi kina maslahi kwetu kipi hakina.Si tunasikiliza Nani kasema Kama mtu wa upinzani kinafaa, kama serikali kibaya.Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Tatizo, ukiuliza swali sio lazima ujibiwe unavyotaka.
Ukuda ukuda tuThubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Mirungi haijapigwa marufuku Kenya. Mirungi sasa ni cash crop, tangia mwaka jana, kama tu chai na kahawa. GoK iliwapa wakulima wa miringu mamilioni ya hela mwaka jana, za kufanya utafiti kuhusu ukulima wa mirungi na kupanua soko la zao lao. Ila wakifikia hatua ya kupiga marufuku mirungi wamalizie na vyote vingine vya ovyo pia km. pombe na madhara yake yote na sigara pia, bila kusahau ndugu yao bange.Hivi mirungi imepigwa marufuku Kenya kulinda mazingira ya mwili??
Je? Tukiileta uku tumefunashia mirungi simtaipokeaHiyo mifuko ya plastiki usivuke nayo boda, kama unajipenda. Utaandamwa bure na hasara juu yake kama mwizi wa mirungi. Sidhani faini ya KES 4million utaweza kuilipa. Kama umeamua kujilipua uwe tayari pia kula maharage ya bure kwa muda wa miaka mitatu kule 'Indaa'.
Mbona nyie mlichelewa kuamia digital kutoka analog, vp kuhusu hiyo mi bus ya 70's inaho zunguka hapo Nai mtaicha lini! Vp kuhusu leseni zenu za kitabu huku tumeziacha miaka 10 iliyopita.Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
True. Western Kenya bado kuna paper bags, hizi transparent ones. The larger ones za black ama green haziko. Ni hizi ndogo transparent na kwa duka hawafichi wanakuwekea what you have bought kwa hizo paper bags. Zimeandikwa product of UgandaMifuko ipo kila mahali..Lakini sasa hiyo biashara imekuwa blackmarket..Ipo na hela kama dhahabu. Tena kupitisha pale border ya uganda ni rahisi kabisa..