Mifuko ya Plastiki/Rambo inatumika Kenya??

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Habari Wakenya na wana JF kwa ujumla,
Wakenya tupeane fursa, wa Tz tuna shehena za mifuko ya plastic almaarufu Rambo, vipi Kenya si bado mnaitumia ama vipi?? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
 
Hiyo mifuko ya plastiki usivuke nayo boda, kama unajipenda. Utaandamwa bure na hasara juu yake kama mwizi wa mirungi. Sidhani faini ya KES 4million utaweza kuilipa. Kama umeamua kujilipua uwe tayari pia kula maharage ya bure kwa muda wa miaka mitatu kule 'Indaa'.
 
Jibu swali. Siyo unaanza mipasho miingi. Wewe ni kiume ati.
 
Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Chakutamausha zaidi ni kwamba baada ya Kenya kuharamisha shughuli zote za kukata na kuvuna miti sasa hivi pale Namanga boda trela zinazoingia na mbao kutoka Tz hazihesabiki. Kampeni za kuwahamasisha wajenzi Kenya kuhusu mbinu na material mbadala za kujenga hazifikii malengo yake kwasababu ya mbao kutoka Tz. Waafrika kwa ubinafsi wetu huwa tunawaza mifuko yetu tu, mazingira tupilia kuleee.
 
Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Hahahaha utasikia serikali inakulupuka wabongo hatujui hata kipi kina maslahi kwetu kipi hakina.Si tunasikiliza Nani kasema Kama mtu wa upinzani kinafaa, kama serikali kibaya.
 
Mifuko ipo kila mahali..Lakini sasa hiyo biashara imekuwa blackmarket..Ipo na hela kama dhahabu. Tena kupitisha pale border ya uganda ni rahisi kabisa..
 
Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Ukuda ukuda tu
 
Hivi mirungi imepigwa marufuku Kenya kulinda mazingira ya mwili??
 
Mirungi haijapigwa marufuku Kenya. Mirungi sasa ni cash crop, tangia mwaka jana, kama tu chai na kahawa. GoK iliwapa wakulima wa miringu mamilioni ya hela mwaka jana, za kufanya utafiti kuhusu ukulima wa mirungi na kupanua soko la zao lao. Ila wakifikia hatua ya kupiga marufuku mirungi wamalizie na vyote vingine vya ovyo pia km. pombe na madhara yake yote na sigara pia, bila kusahau ndugu yao bange.
 
Hiyo mifuko ya plastiki usivuke nayo boda, kama unajipenda. Utaandamwa bure na hasara juu yake kama mwizi wa mirungi. Sidhani faini ya KES 4million utaweza kuilipa. Kama umeamua kujilipua uwe tayari pia kula maharage ya bure kwa muda wa miaka mitatu kule 'Indaa'.
Je? Tukiileta uku tumefunashia mirungi simtaipokea
 
Thubutu, huku tulishapiga marufuku na tukazoea, japo tulikamatwa kamatwa sana wakati sheria ilianza, nyie sasa naona mnalia lia kwenye mitandao, tatizo la Tanzania huwa nyuma sana kwenye kutekeleza chochote, tunaishia kuwaburuza. Hii sheria ni muhimu sana kwa masuala ya mazingira.
Wabongo nawajua mlivyo, mgambo watawakamata kamata sana hadi mje kuzoea na mtalia sana kwenye mitandao.
Mbona nyie mlichelewa kuamia digital kutoka analog, vp kuhusu hiyo mi bus ya 70's inaho zunguka hapo Nai mtaicha lini! Vp kuhusu leseni zenu za kitabu huku tumeziacha miaka 10 iliyopita.
 
Mifuko ipo kila mahali..Lakini sasa hiyo biashara imekuwa blackmarket..Ipo na hela kama dhahabu. Tena kupitisha pale border ya uganda ni rahisi kabisa..
True. Western Kenya bado kuna paper bags, hizi transparent ones. The larger ones za black ama green haziko. Ni hizi ndogo transparent na kwa duka hawafichi wanakuwekea what you have bought kwa hizo paper bags. Zimeandikwa product of Uganda
 
Nimepita mitaa mingi Leo nimeona muitikio chanya juu ya kuacha na matumizi ya plastic bag

Maduka na wamachinga wengi wameanza kutumia mifuko ya nyuzi na ya karatasi

Nimefarijika kwakweli

Safi sana
 
aisee bora imepigwa marufuku huku bongo pia ilikuwa inatupa taabu.unajikuta umeingia kenya bado unabeba Iyo mfuko wa plastiki. me siku moja karibu nidakwa police ndio wanatusimamisha na ndio nimezinduka nina mfuko wa plastiki dadeki.
 
Back
Top Bottom