Brothers Karamazov
Senior Member
- Jul 13, 2023
- 152
- 393
Wakuu nina mifuko kama 9 ya Nyati cement toka 2017, leo nimekuta imeganda. Nikawaza nipige floor kwenye kibanda. Je, naweza itumia vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cement haiishi ubora, kuharibika kwake ni kugandaMiaka sita sio kwamba imepoteza ubora? Hata ukifanikiwa kuitumia ni kama haitashika? Ngoja wataalamu waje
Ndio kuisha ubora hukoCement haiishi ubora, kuharibika kwake ni kuganda
Ikiganda haiwezi tumikaNdio kuisha ubora huko
Nyie kizazi cha 2000 mna matatizo sana. Ndio maana mnadiriki kushare mbho na mama zenu(unaweza uliza wakubwa zako hapo tafsiri yake nini), maana akili zenu zimekuwa za kuwaza hela tu hata kama mada zisizohusiana.huna hela wewe
kuna uzembe ulifanyika na ikasahaulika.Katafute Mifuko Mingine Ya saruji.
Iyo achana nayo haifai kabisa.
Katupe Barabarani kwenye Dimbwi.
JITAHIDI UKINUNUNUA SARAJI UIFADHI VIZURI SEHEMU ISIYO NA UNYEVUNYEVU.
ikipita miezi SITA Inapoteza ubora
Wewe mkubwa unanini Baba kutwa post za punyerto unajaza seva kijinga Tu...Nyie kizazi cha 2000 mna matatizo sana. Ndio maana mnadiriki kushare mbho na mama zenu(unaweza uliza wakubwa zako hapo tafsiri yake nini), maana akili zenu zimekuwa za kuwaza hela tu hata kama mada zisizohusiana.
Chakula kikioza huwa unakitumiaje mukubwaWakuu nina mifuko kama 9 ya Nyati cement toka 2017, leo nimekuta imeganda. Nikawaza nipige floor kwenye kibanda. Je, naweza itumia vipi?
Aloweke?Igandue,itatumika tu
Aiweke kwenye oven au microwaveAloweke?
Upumbavu nao ni maumbile kama urefu na ufupi. Endelea kuchekesha.Wewe mkubwa unanini Baba kutwa post za punyerto unajaza seva kijinga Tu...