Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau habari za muda huu imetokea watanzania wengi tena wasomi kutokuwa na elimu ya kutosha ya fedha na yote hiyo ni kwa sababu atufundishwi darasani.
Sasa nilikuwa napitia kuhusu mfuko wa uwekezaji mpya ulionzisha unaitwa faida fund au watumishi Housing investment, je, hii faida yake ikoje au ndio ipo kama UTT AMIS maana utapeli ni mwingi sana kwenye nchi yetu?
Naomba tujadiliane kwa kina hii mada japo najua kwa kuwa haihusu mapenzi wachangiaji watakuwa wachache, sababu wabongo tunapenda mambo ya kijinga.