lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Utangulizi
Fuatilia maelezo ya kila mfumo ukitilia maanani faida na hasara za kila mfumo. Unaweza pia kumtumia mshauri wa masuala ya biashara kukushauri kulingana na mazingira yako utakayofanyia biashara.
Hasa unatakiwa kujua zaidi mambo ya kisheria katika mfumo utakaoamua kuutumia kuendesha baishara yako ili isije ikakuletea shida huko mbeleni, maamuzi ya mfumo upi uuchukue inategemea zaidi sheria za ndani ya nchi husika, pia inategemea ukubwa wa mtaji wako nk.
Aina ya mifumo
Mtu mmoja (sole proprietor)
Hii ni biashara inayoendeshwa na mtu mmoja tu kwa kutumia jina lake binafsi au kusajili [HASHTAG]#brela[/HASHTAG] jina la biashara tofauti na jina lake binafsi
Faida yake
Hii ni sawa na sole proprietor lakini biashara huendeshwa na watu wawili au zaidi kwa mfumo ule ule wa mtu mmoja lakini hapa ni lazima kusajili jina la biashara brela na kuandika mkataba wa ushirika yaani Partnership Agreement
Faida yake
Faida yake
(private companies limited by shares) (watu wawili hadi 50)
Faida yake
(private companies limited by guarantees) (watu wawili hadi 50)
Faida yake
Faida yake
Faida yake
Faida yake
Ukishachagua mfumo mzuri wa biashara yako, unatakiwa kuanza mchakato wa kuisajili biashara yako katika mamlaka ya usajili wa makampuni inayoitwa BRELA ambayo ofisi zake zipo Jengo la shirika –Dar es salaam kama umeamua kutumia mifumo ya sole proprietor, partnership au makampuni. Mifumo mingine husajiliwa katika wizara husika au kwenye serikali za mitaa.
Kwa maelezo zaidi: kivuyo.com

- Kuanzisha ni rahisi
- Maamuzi hupitishwa kwa haraka kwa hiyo hakuna urasimu
- Biashara ikipata shida mmiliki anahusika na hasara kama vile ya ufilisi nk
- Yaani biashara ikidaiwa mali za mmiliki kama nyumba, gari, shamba zitauzwa ili kulipa madeni
Hii ni sawa na sole proprietor lakini biashara huendeshwa na watu wawili au zaidi kwa mfumo ule ule wa mtu mmoja lakini hapa ni lazima kusajili jina la biashara brela na kuandika mkataba wa ushirika yaani Partnership Agreement
Faida yake
- Kuanzisha ni rahisi
- Maamuzi hupitishwa kwa haraka kwa hiyo hakuna urasimu
- Biashara ikipata shida wamiliki wanahusika na hasara kama vile ya ufilisi nk
- Mikataba inayoingiwa na mmoja wa washirika huwabana na wengine wasiohusika
Faida yake
- Utambulisho wa kisheria
- Ukomo wa ufilisi upo kwenye kampuni husika na sio wenye hisa
- Ni rahisi kuvutia mitaji mikubwa kupitia masoko ya hisa
- Haina usiri hivyo ni hatari kwani washindani wa biashara husika wanaweza kutumia taarifa hizo kujipanga
- Muda na rasilimali muda kupotea kwa shughuli za kihasibu na kazi za makaratasi
(private companies limited by shares) (watu wawili hadi 50)
Faida yake
- Utambulisho wa kisheria
- Ukomo wa ufilisi upo kwenye kampuni husika na sio wenye hisa
- Kazi za makaratasi ni chache ukilinganisha na makampuni ya umma
- Mlolongo wa taratibu za kisheria ni chache ukilinganisha na makampuni ya umma
- Gharama katika kuanzisha tofauti na biashara binafsi
- Huruhusiwi kuuza hisa katika masoko ya hisa
- Kampuni li lazima angalau iwe na wakurugenzi, katibu na mhasibu
- Ni lazima ifanyiwe ukaguzi wa mahesabu kila mwaka
(private companies limited by guarantees) (watu wawili hadi 50)
Faida yake
- Utambulisho wa kisheria
- Ukomo wa ufilisi upo kwenye kampuni husika na sio kwa wadhamini
- Kazi za makaratasi ni chache ukilinganisha na makampuni ya umma
- Mlolongo wa taratibu za kisheria ni chache ukilinganisha na makampuni ya umma
- Gharama katika kuanzisha tofauti na biashara binafsi
- Kampuni li lazima angalau iwe na wakurugenzi, katibu na mhasibu
- Ni lazima ifanyiwe ukaguzi wa mahesabu kila mwaka
Faida yake
- Utambulisho wa kisheria
- Inavutia wahisani
- Ni ya watu wachache waliokubaliana
- Ukiritimba katika kupitisha maamuzi
- Ugomvi wa mara kwa mara
- Haina kinga kwa waazilishi