Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwako mkuu!Chakra Kiujumla ni Grand/ Tezi. Hao wahindi wametaja kwa lugha zao, but ukija kwa watu magharibi utasikia ina majina mengine kama Crown Chakra etc. Kama ilivyo ktk anatomy na physiology hizi chakra hazijaishia hapo tu ktk kufanya kazi ( It's a Parallel Universe Remember).
Hizi Chakra ndio energy gate ya eneo husika, ikimaanisha inaweza kufungulia energy au kufunga. Ina control energy ya sehem husika, ikifail kufanya hivo kwa kushindwa ku limit flow ya energy au kushindwa kufungulia energy zote ni trouble.
Mfano: Crown Chakra,utakutana na Pituitary, remember pituitary ni Grand Master ktk physiology, na huku ktk spiritual ndo Chakra ya ufalme, inayo kuwezesha kuingia ktk higher dimensions. Ndo inafunguo wa spiritual dimension, intuitions, self connection. Ikizingua hapo ndo utaona watu wana shida ya concentration, kukimbia kimbia ktk kila kusanyiko la maombi , dua au uganga, they can't pray or meditate vyema. Hii Chakra ukiipiga well watu wanakuwa kama makondooo wako, inaharibiwa na vitu kama Flouride. Wagonjwa wengi wa akili, afya ya akili pia hii ndo ishu.
Tukija ktk chakra number 3 Heart Chakra, inadeal na upendo na hisia. Watu wenye utulivu wa hii Chakra wana upendo ,hakuna shida za hisia, mipasuko ya hasira na mambo mengin kama hayo.
Kwa kifupi chakra zipo saba na zina husika moja kwa moja na afya yako ya mwilin na rohon.
NYONGEZA. Floo ya damu vizuri, mazoezi , kuondoa sumu ni miongoni mwa vitu vinavyo imarisha hizi chakra.
Kila chakra ina frequency zake za kuzifungua , kuziboresha na kuziharibu. Hizi frequency ni miongon mwa epigenetic, yaan information za nje zinazoweza ku influence taarifa za ndani.
Frequency kutoka ktk sauti ( hapo utaona sauti inatumika ktk healing, Kama Sound bathing), au kusemwa kwa mantra fulan kwa ajili ya kutibu jambo fulan.. Sound Energy
Frequency kutoka ktk rangi, tambua rangi inatoka ktk light energy, na kuna spectrum inayo onyesha mawimbi na frequency ktk rangi hizo.
Mfano: Crown chakra ni 963 Hz na rangi yake ni ya utawala ambayo ni 🟪 Purple. Utaona hata ndio miongon mwa rangi ktk madhabahu nyingi, sehem nyingi za kiroho utaikuta. Huwez au nadra kuikuta ktk Clubs.
Ktk zile Mat za meditation watu hutumia Rangi mbalimbali kulingana na wanatak ku heal chakra gani.
Heshima kwako piaa mkuuuHeshima kwako mkuu!
Kupitia hili andiko lako umemaliza kila kitu.
Naomba ukipata muda ongezea vingine tujifunze zaidi. Usiache kunitag.
Kongore sana mkuu