TREVORULINDA
Member
- Jul 12, 2025
- 5
- 2
Habari ndugu,
Naomba kufahamu mifumo ya kutolea huduma za afya kwa mfano GOT-HOMIS na EHMS imewekwa kwa kufatana na hadhi ya hospitali?
Hospitali nyingi za wilaya zinatumia GOTHOMIS na huu mfumo naambiwa na watumiaji kwamba una mashetani mengi kiasi kwamba unapelekea baadhi ya huduma za afya kupita mikononi mwa watu.
Kwa upande wa EHMS yenyewe naambiwa haina changamoto yoyote pamoja na kwamba ni mfumo mpya, nimefanya utafiti wangu na kugundua kuwa hospitali za rufaa ndizo zinatumia mfumo huu wa EHMS na ni kweli mfumo huo hauna changamoto nyingi ukilinganisha na GOTHOMIS, sasa kwanini hospitali zote zisitumie mfumo mmoja wa EHMS bila kujali kuwa hii ni ya wilaya au ya mkoa?