Mifumo ya Uendeshaji wa Serikali ya Awamu ya Tano, iangaliwe upya! Watanzania "tutachoka" vibaya sana ndani ya hii miaka 10 ya Mhe. Rais Magufuli

Mifumo ya Uendeshaji wa Serikali ya Awamu ya Tano, iangaliwe upya! Watanzania "tutachoka" vibaya sana ndani ya hii miaka 10 ya Mhe. Rais Magufuli

Wewe utakuwa mpiga dili au kibaraka wa Mbow kule CHADEMA.

Hela ipo mtaani nyingi tu, wewe fanya kazi kwa bidii tu mlizoea vya bure bure havipo sasa.. "Hapa kazi tu"

Wanaolalamika wengi ni CHADEMA, wapiga dili, vyeti feki na wale waliotumbuliwa lakini kwa wapiga kazi hali ni shwali kabisa..

Uchumi unakua kwa zaidi ya 7%, Hali ya umasikini mtaani imepungua, tuna hifadhi ya dola ya kutosha, shilingi imeimarika, SGR, Stieggler, Maflyover kila kona nk..

Watanzania mnataka nini? wakati mmeletewa masiha aka mkombozi JPM ambaye mpaka USA, UK huko ni gumzo huku wakenya wakitamani awe Rais wao..
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mashaka yangu hata ikikamilika serikali ijayo haiwez kubali kufanya marktime ya kuipa ruzuku wakati haina tija attaipiga chini ijifie hakuna maana kutoa ruzuku na kulipa madeni ya miradi isiyo na tija kwa watu na uchumi
Imagine serikali inadiriki kujenga daraja la kukatiza bahari na maziwa ilhali hadi sasa miaka 5 imefika hakuna barabara za kuunganisha mkoa wa kigoma na kagera,kigoma na katavi,kigoma na mpanda,mbeya tabora,ruvuma na morogoro,usafiri dar bado ni tatizo kubwa sasa hayo madaraja ni ya kazi gani?
Hio mikoa makandarasi wako kazini kuiunganisha kwa maneno ya wanasiasa kama ni kweli,haya madaraja hayana shida yanasaidia uchumi.ATC ajae akiruhusu tu competition zitajifia labda tu tupate management imara ya watu committed kuhimili ushindani
 
Back
Top Bottom